Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

Bila kujua kamvua nguo boss wake, inashangaza mtu wa karibu kama mlinzi taarifa zake hazifahamiki na sio tu boss bali taasisi nzima anakofanyia kazi!
Mkuu Nifah, kwa wanaojua itifaki jambo hili si la ajabu hata kidogo. Hivi wadhani Samia ndiye aliyempanga /mteua huyu ADC wake?
na tukienda mbali kuongelea walinzi wake amini usiamini hajui mengi yanayowahusu.
 
Hivi umesoma story yote ukaielewa? Jamaa alipopeleka fomu ya kugombea umeya walisema (taasisi) anafaa ila hana elimu, ndio ikabidi apeleke vyeti.

Hapo unaongelea itifaki gani Mkuu?
 
Mkuu nimekujibu kwa usahihi kabisa. Nadhani wewe si muelewa wa mambo haya ila Kwa wanaoelewa mambo haya wamenielewa.
By the way nitakupa ufahamu kidogo, kitengo cha ajira za ulinzi huwa ni independent sana na mifumo mingine unless waombwe “recommendation “ au vetting.
Otherwise file lako la masijala “binafsi” hubakia binafsi.
 
Huna haja ya kuandika yote, Inatosha
 
Huo ulinzi ni wa kupokea pochi za viongozi tu au ana background ya mambo ya ulinzi wa viongozi.

Ashukuru sana hapakuwahi tokea kashkash yoyote maana angeweza kimbia akaacha anaowalinda.
 
Aliwahi kuzima jaribio la kuchoma Makao Makuu ya Chadema na kuwakamata wahusika
 
Hivi umesoma story yote ukaielewa? Jamaa alipopeleka fomu ya kugombea umeya walisema (taasisi) anafaa ila hana elimu, ndio ikabidi apeleke vyeti.

Hapo unaongelea itifaki gani Mkuu?
😆😆😆😆
 
..Boni alinifurahisha alivyokuwa akiwakaba kabari madiwani wa Ccm wakati wa vurugu za kupiga kura ktk vikao vyao. Kila mara Ccm mlibidi waite Polisi maana walikuwa wanazidiwa ubabe. Kuna jamaa mwingine nadhani alikuja kugombea ubunge Rombo. Jamaa anatupa ngumi utadhani Meiwedha.
 
😆😆😆 Alikuwa Diwani wa Tabata anaitwa Asenga
 
Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
Nimesita sana kutoa maoni yangu hapo.
Hiyo siyo kawaida, tena katika nchi ya namna hii?
Naliacha tu hili libaki lilivyo. Labda nikaangalie Umea wake ulikuwaje. Hapo nitaweza kumfahamu kidogo.
 
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza.

Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako

View attachment 2984947View attachment 2984948View attachment 2984949
Jina lake ni Boniface Jacob, maarufy Boniyai au Meya. Hii ni hatari kubwa sana, I awezekana huyu bwana ni jambazi, muuaji. Jina lake halisi ni nani? Ni kabila gani? Kasoma shule gani? Kasoma na kina nani tunaowajua? Mke wake ni nani? Baba yake utaambiwa ni Jacob Alex. Embu fuatolieni vizuri mtajaniambia. Bonofasi Jacob. Iddi Issa. Mary John. James Julius. Agnes. Jenerali Ulimwengu. William. Gerald Ladislaus.
 
Back
Top Bottom