š¤£š¤£š¤£š¤£ jamaa wa Rombo jina limenitoka aroo anatupa sana mawe sijui kipaji binafsi au alipiga masumbwi hahaha umenichekesha..Boni alinifurahisha alivyokuwa akiwakaba kabari madiwani wa Ccm wakati wa vurugu za kupiga kura ktk vikao vyao. Kila mara Ccm mlibidi waite Polisi maana walikuwa wanazidiwa ubabe. Kuna jamaa mwingine nadhani alikuja kugombea ubunge Rombo. Jamaa anatupa ngumi utadhani Meiwedha.