Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

Kwan Kuna uhusiano wowote Kati ya ulinzi na elimu,Au inategemea na unachokilinda ..?
 
Kamuulize mwenyewe, unaniuliza mimi ananihusu vipi? Kwani nilisema mimi chawa wa Kizimkazi?

Kwa nini unaona mtu akimsema Mbowe basi lazima atakuwa shabiki wa Kizimkazi?
Nashukuru umelielewa vizuri swali langu niishie hapo mengine hayo yakwako
 
Aliwahi kuzima jaribio la kuchoma Makao Makuu ya Chadema na kuwakamata wahusika
Wabongo tantalila nyingi.

Mimi nimeulizia background yake kwenye ulinzi wa viongozi.

Wewe unakuja na stori za majengo ya saccos yenu.
 
Hawa Mgambo wa Jiji?🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…