Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Wengine huwa hawalipi dabo dabo, bali wanahamisha viungo tu vya mwili toka kwenye sehemu yake kwenda pengine... !! Emajini nyonyo zonahamishwa, moja inahamia kwenye komwe na nyingine kwenye ugoko..!!
Msamehe ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… usifanye hivyo bro
 
Hahahah unasumbua sana kila siku post mpya
๐Ÿ˜† Kumbe, shida nina furaha sana, ngoja nikipata huzuni nitaacha ku post๐Ÿ˜…

Nipe vigezo na masharti bro, kwa wiki ni ngapi zinatakiwa

๐Ÿฅ•๐Ÿ‡
 
Tatizo Bantu Lady amenishirikisha anataka kukupa dawa, nikamshauri asicheze na wewe maana kule kwenu sifa ya kuishi ni lazima uwe mganga๐Ÿ˜†. Ngalikihinja

๐Ÿฅ•๐Ÿ‡
Waganga nchi hii wanatoka sehemu tatu tu..!! Hata ukisoma matangazo ya waganga si unaona..!! Utasikia Mganga anatoka Sumbawanga, Kigoma au Tanga..!! Ukiona bango limeandikwa mganga anatoka Machame, sijui kishumundu au Songea etc..!! Kimbia, utatapeliwa..!! Eti mganga anatoka Musoma..!!
 
Kuzaliwa mara pekee ni kinga ya matatizo yote yanayoweza kukupeleka kwa mganga๐Ÿ˜…. Wazee wa kichuri

Sasa unaingia mkoa wa mara be strong ๐Ÿ˜…
Cc Bantu Lady and Ngalikihinja.

๐Ÿฅ•๐Ÿ‡
 
Ramli chonganishi hizi dada๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mimi ananijua Mungu pekee maana hata Mimi sijijui๐Ÿ˜…
Mimi akili yangu inacharge kuliko kawaida. Nimeshajua yaani dah haya umenipata hapa. Ile ID yako nyingine nilikublock ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
 
Mimi akili yangu inacharge kuliko kawaida. Nimeshajua yaani dah haya umenipata hapa. Ile ID yako nyingine nilikublock ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Pole sana. Ni vizuri kuota. nakupa ruhusa itag hapa
Screenshot_20230516-113808_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom