Tatizo Bantu Lady amenishirikisha anataka kukupa dawa, nikamshauri asicheze na wewe maana kule kwenu sifa ya kuishi ni lazima uwe mgangaπ. NgalikihinjaBro kumbe umemtuma Bantu Lady aje aniroge? Niambie nianze kujipanga
I'd zangu hizondio nini
Msamehe π π usifanye hivyo broWengine huwa hawalipi dabo dabo, bali wanahamisha viungo tu vya mwili toka kwenye sehemu yake kwenda pengine... !! Emajini nyonyo zonahamishwa, moja inahamia kwenye komwe na nyingine kwenye ugoko..!!
Half american na Mwachiluwi . Binafsi siamini kuwa na I'd nyingi maana sifanyi uharifu. Hapa jf ni kuondoa stress tu. Mambo ya kina rose2 siyawezi bro'sI'd zangu hizo
Hahahah unasumbua sana kila siku post mpyaHalf american na Mwachiluwi . Binafsi siamini kuwa na I'd nyingi maana sifanyi uharifu. Hapa jf ni kuondoa stress tu. Mambo ya kina rose2 siyawezi bro's
Peterrabbitπ₯π inatosha kabisa.π
sawa mkuuHalf american na Mwachiluwi . Binafsi siamini kuwa na I'd nyingi maana sifanyi uharifu. Hapa jf ni kuondoa stress tu. Mambo ya kina rose2 siyawezi bro's
Peterrabbitπ₯π inatosha kabisa.π
π Kumbe, shida nina furaha sana, ngoja nikipata huzuni nitaacha ku postπHahahah unasumbua sana kila siku post mpya
Waganga nchi hii wanatoka sehemu tatu tu..!! Hata ukisoma matangazo ya waganga si unaona..!! Utasikia Mganga anatoka Sumbawanga, Kigoma au Tanga..!! Ukiona bango limeandikwa mganga anatoka Machame, sijui kishumundu au Songea etc..!! Kimbia, utatapeliwa..!! Eti mganga anatoka Musoma..!!Tatizo Bantu Lady amenishirikisha anataka kukupa dawa, nikamshauri asicheze na wewe maana kule kwenu sifa ya kuishi ni lazima uwe mgangaπ. Ngalikihinja
π₯π
Hapna muulize Half american uyo ni baba yangu mdogoπ Kumbe, shida nina furaha sana, ngoja nikipata huzuni nitaacha ku postπ
Nipe vigezo na masharti bro, kwa wiki ni ngapi zinatakiwa
π₯π
Kuzaliwa mara pekee ni kinga ya matatizo yote yanayoweza kukupeleka kwa mgangaπ . Wazee wa kichuriWaganga nchi hii wanatoka sehemu tatu tu..!! Hata ukisoma matangazo ya waganga si unaona..!! Utasikia Mganga anatoka Sumbawanga, Kigoma au Tanga..!! Ukiona bango limeandikwa mganga anatoka Machame, sijui kishumundu au Songea etc..!! Kimbia, utatapeliwa..!! Eti mganga anatoka Musoma..!!
ππππππLovie Lady my wiii eti kweli unaniigizia kipenzi π
Kumbe ni dingiraiπHapna muulize Half american uyo ni baba yangu mdogo
NdioKumbe ni dingiraiπ
Mmmmhhh!!! Wewe nishakujua π€£π€£π€£π€£ haya tuendelee....Kuzaliwa mara pekee ni kinga ya matatizo yote yanayoweza kukupeleka kwa mgangaπ . Wazee wa kichuri
Sasa unaingia mkoa wa mara be strong π
Cc Bantu Lady and Ngalikihinja.
π₯π
Ramli chonganishi hizi dadaπ πMmmmhhh!!! Wewe nishakujua π€£π€£π€£π€£ haya tuendelee....
Yangu macho hapa...
Bantu nijuze na mimi πMmmmhhh!!! Wewe nishakujua π€£π€£π€£π€£ haya tuendelee....
Yangu macho hapa...
Mimi akili yangu inacharge kuliko kawaida. Nimeshajua yaani dah haya umenipata hapa. Ile ID yako nyingine nilikublock ππππππππππRamli chonganishi hizi dadaπ π
Mimi ananijua Mungu pekee maana hata Mimi sijijuiπ
Acha umbeaπBantu nijuze na mimi π
π π Pole sana. Ni vizuri kuota. nakupa ruhusa itag hapaMimi akili yangu inacharge kuliko kawaida. Nimeshajua yaani dah haya umenipata hapa. Ile ID yako nyingine nilikublock ππππππππππ