Story chini ya kapeti wema na daimond wamerudiana

Ji
Jihurumie na hali yako mkuu pambana na hali yako
 
All the best wema khe khe kheeee sijui safari hii hana nyota za kuibiwa na dai au haogopi dai kumharibia watoto kwa lips denda zake uwiiii zari kiboko bana kamdaka dai na mimba akazipata bila kusema atatoa watoto sira mbaya za tandale(kama walivyokua wanajishaua akina penny)
 
Kama ni kweli basi Wema haikus thamani yake na aliyemloga ni marehemu
 
Kuna mijitu inajifanya sio mimbea halafu kutwa kwenye jukwaa la umbeya!.Mbona majukwaa mengi? waende huko wakajadili bei ya mbaazi watu wamelima wameisusa shambani bei toka shs 3000/= kwa kilo hadi 200/=.
Hahahhaha nacheka kama mazuri vile
 
Wema hajitambui ht kidogo
 
hizi stori nazo sometimes zinakera jamani yan zinaboaaaaa,
 
Wema hawezi kuishi bila ya kutengeneza kiki.
Ni wema alimuacha Diamond kwa kusema anasafiria nyota yake,sasa inatengenezwa kiki mtu aandikwe tu.Hamisa kampoteza vibaya sana wema
 
Tamu hiyo, lazima urudi mara mbilimbili!
 
Jinsi ulivyoleta huo uzi umenikumbusha uandishi wa Warumi Aisee, sijui yuko wapi binamu jamani! Kina Nifah, Atoto, Heaven on Earth, na wengineo. Tulikuwaga wambea first grade! I miss em old days.


Hao wote sasa wanachapwa na Magufulication, hela ya kununua MB hawana. Sawa na wale kina Makabuleta wa Twanga Pepeta sijui wako wapi wale!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…