lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Ji
Jihurumie na hali yako mkuu pambana na hali yakoWale wambea wenzangu team zarimond,sijui watahamia wapi maana story za chini kwa chini mahaba yamerudi na yule wa south kapumzishwa
Yasemekana mpira umerudi kwa kipa(wema)ila kwa sharti la kuolewa hvyo yale madongo ya mama dangote ilikua ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa mama watano
Bibi wema siku hizi anashinda gym ili aweze kufanana na kina sweet 16 kidogo!!na wakifuatana na daimond waendane
Siku ya bday ya mondi queen darlin alipigana na wema kwa kua hataki kaka ake awe na wema
Ila Wema kama utarudi kwa baba dii sawa coz mapenzi ni ya wawili ila daahh;shame on uuu!!!daimond no longer in love wit u ila anataka kumantain umaarufu wake na jua kabisa ni baba wa watoto wa3 wa south na Tz
My advice;ungepambana na hali yako tu my Dada kuliko hyo ya kutaka uwakomeshe team Fulani mwanaume anaekupenda kweli hawez kua hvyo
Simchukii Wema,Zari wala hamisa ila kwa hili nawaonea huruma team yako aiseee sijui watajificha wapi kkaaah!
Ungemuacha tu dai apambane na wazazi wenziwe umeonyesha weakness kubwa mnoo kua kumbe siku zote ulikua unamtamani baba dee!
Loohhj!pole wema na usishangae asikuoe pia!