Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story ya Mussa kutumia miaka 40 kutoka Misri hadi Israel ni uongo mtupu, hata kama zamani hawakua na Ndege au Magari lakini pale sio mbali ki hivyo.
 
Vipi ile chai ya qurani kushushwa toka mbinguni eti na jamaa akainakili bila kukosea hata nukta. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wataalam eti wanasema...inawezekana Adam alipata watoto wengine zaidi ya Kaini, abeli na Seth ambao watakuwa wa kike. Means kaini alizaa na dada yake.
Zamani wanawake walikuwa hawatambuliki hata kuandikwa kwenye vitabu
 
Sasa mbona Eva aliandikwa na yeye ni mwanamke? Wanawake ninachojua huwa hawaandikwi katika genealogy (sina uhakika wa neno la kiswahili) tu.
 
Sasa mbona Eva aliandikwa na yeye ni mwanamke? Wanawake ninachojua huwa hawaandikwi katika genealogy (sina uhakika wa neno la kiswahili) tu.
Waliandikwa wachache.
Hata amri za mungu zinawahusu wanaume..kuna ile 'usizini'. Niliwahi ambiwa hapa jf kuwa mwanaume ndo anazini na si mwanamke.
Kuna nyingine inasema usitamani mwanamke/mke wa mwenzio ina maana kutamani mume wa mwenzio ni ruksa
 
😂😂😂😂😂😂
 
Wataalam eti wanasema...inawezekana Adam alipata watoto wengine zaidi ya Kaini, abeli na Seth ambao watakuwa wa kike. Means kaini alizaa na dada yake.
Zamani wanawake walikuwa hawatambuliki hata kuandikwa kwenye vitabu
Kwa hiyo Kaini alikuwa anaogopa kuuawa na ndugu zake wa kike hadi akamwambia Mungu amlinde na walimwengu??? Inakuingia akilini kwamba aliogopa kuuliwa na dada zake??? Narudia tena tumepigwa sana kwenye dini
 
Kwa hiyo Kaini alikuwa anaogopa kuuawa na ndugu zake wa kike hadi akamwambia Mungu amlinde na walimwengu??? Inakuingia akilini kwamba aliogopa kuuliqa na dada zake??? Narudia tena tumepigwa sana kwenye dini
Kupigwa tumepigwa sana na tukihoji tunaambiwa haturuhusiwi kuhoji tuamini kila kitu. Mie yashanishinda...amri ya mungu niliyoielewa ni UPENDO. Mengine ya kwenye biblia yatanisamehe
 
Kupigwa tumepigwa sana na tukihoji tunaambiwa haturuhusiwi kuhoji tuamini kila kitu. Mie yashanishinda...amri ya mungu niliyoielewa ni UPENDO. Mengine ya kwenye biblia yatanisamehe
Mambo shetani mwenzangu..??
Hivi kabisa ati Israel ndo taifa la Mungu nilitegemea ndo litakuwa na amani ili liwe taifa la mfano hapa duniani lakini dogo tu kama Tanzania lina amani kushinda hata hilo taifa teule la Mungu!!..
Taifa gani la Mungu linanukia damu kiasi hicho..!

Mataifa yetu ya kiafrika yanaamini yanalindwa na Mungu lakini taifa teule la Mungu lina kila Aina ya siraha ya kujilinda!.. ifike hatua tuwe na akili kumkichwa!
 
Poa tu shetani mwenzangu.
Kuna rafiki yangu huwa ananiambia pokea baraka za Israel..namwambia staki huo upuuzi.
Yaani watu hata kutumia akili ndogo tu wameshindwa.
 
Umekurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…