Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story ya Ester, bahati bukuku alitusimulia kupitia wimbo wake wa waraka,
Yaani kuanzia Wimbo unaanza unaweza kwenda sokoni kununua dagaa, unarudi unapika, unamalizia kusonga ugali ndio utasikia wimbo umefikia "ooh Ester aah kwa mahombi huku akisindikizwa na mioyo ya wayaudi" .


Du hapo tulipigwa.
Zero IQ at your best moment
 
Wewe kabila gani? Lugha mama kwako ni ipi? Ukishajiuliza hayo ba kupata majibu sasa jiulize hapa JF unawasiliana na watu wa makabila mangapi na kwanini isiwe kwa lugha ya kabila lako?

Ukijibu hayo utaelewa hekima ya Allah kuifanya Qur'an kwa Kiarabu na salat zote za Waislam dunia nzima kwa lugha moja tu. Ni muujiza tunaoishi nao.
Nimekupata tena sana jazzakhaallahu khayra
 
Kwamba peponi tutagida pombe! Yaani kuna mito kabisa ya ulabu. Pale naona tulipigwa aisee.
Itakuwa burdani! Ukitoka kuchota Konyagi au Pilsner unaenda kula bikira wako moja ,Kati ya 72 unaowamiliki!
Halafu Masheikh wachoyo sana..hili SoMo huwa nadra sana kulifundisha!
 
Itakuwa burdani! Ukitoka kuchota Konyagi au Pilsner unaenda kula bikira wako moja ,Kati ya 72 unaowamiliki!
Halafu Masheikh wachoyo sana..hili SoMo huwa nadra sana kulifundisha!
Jamaa wana siri sana. Hili somo kwamba peponi tutagida pombe na kupewa bikra 72 huwa anatoa sheikh Kipozeo tu. Huwa akiongelea raha za peponi najisikia raha sana.
 
Unaweza kuthibitisha haya madai yako?
Sio madai, hii ni kwa mujibu wa mawaidha ya mheshimiwa sheikh Hilary Kipozeo kwamba peponi kutakuwa na mito kabisa ya pombe tutakuwa tutajichotea tu.
Mwenyezi Mungu tujalie tufike peponi.
 
Huwa najiuliza wazungu walifanikiwa vip kutufanya tuone kuoa wake wengi ni dhambi ila ushoga ni haki za binadamu
 
Kwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).

Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).

Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).

Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).

Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.

Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).

Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.

Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?

Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Nasubiri jibu hapa...
 
Back
Top Bottom