Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

Duuh!,kama movie vile!,ila pole sana mkuu!,kikubwa uhai tu!,,ila tumalizie story tujue hatma yake ni nini!
 
Fursa hii kwa bongo movie, [emoji848] unaweza tengenezea movie hii story na kupiga hela sana.
 
msitu huo ukisimuliwa na ukienda kuuona ni tofauti...kuhusu mwanzinga tuseme R.I.P
Hizi Ni stories za kufikirika. Nyakati hizi bado kuna misitu ambao haufikika?
Wizara ya Maliasili na Utalii inayatambua hayo mapori na Mapango, kuna kitengo maalum kabisa cha TUNU ZA TAIFA na kina Mkurugenzi wake,ni lazima ukakate Leseni ya muda wa miezi 6 tu, ikiisha unahuisha tema kwa malipo. na ukiipata hiyo leseni kuna masharti mengine ndipo unaenda kutafuta hayo mabaki ya Wajerumani, mababu zetu au waingereza, wengine tunajiendea tu hebu tuendelee na stori za kweli huko mbele tutataja tu hayo mapori na mapango.
 
Popcorn
IMG_20201118_140526.jpg
 
Back
Top Bottom