Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

Hivi kama ukitanguliza drone yenye kamera ikapiga picha mkaona yaliyopo uko chini, si inawezekana kabisa kujipanga kwenda kuchukua mzigo
 
hii plan ya kutuma Drone ni nzuri tu, ila kwa msaada wa mleta Mada Mbwichichi tunamsubiri atufahamishe lolote lilioendelea
pia nampa pole kwa kukatwa mguu baada ya tukio lile wenzake kfariki ndani ya shimo
 
Ni muda mrefu sana nafatilia ukweli kuhusu habari za huu msitu wa nyumbanitu... Siku isiyo na jina na mm nitaenda huko kutafuta mali (nitazingatia kuwa peke yangu)
Asant kwa Uzi.
don't try
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…