DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
001:
umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu.
Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es salaam au bongo kama wengi walivyozoea kupaita lakini hawakukosea dar kwel ni bongo mji unaotaka kutumia akili zaidi kuliko nguvu na hi niliamini siku ya kwanza tu naingia jijini nikiwa naamin mjini kunataka nguvu uwe kama bondia mandonga looh kumbe nilipotea nilikutana na kipigo zaidi ya cha Mandonga.
Ilikuwa ni majira ya jioni ndio kwanza nimeingia mjini nikiwa bado nashangashangaa mana sina ndugu wala mwenyeji ghafla walitoke vijana watatu wakiwa wamevaa sut safi na kupendeza walinizunguka na kuanza kunikagua nikiwa sielewi wanataka nini ghafla walitoa vitambulisho vyao na kuniambia wao ni usalama wa taifa.
002:
Waliniambia wamekuja nikamata kwa kosa la kuuza madawa ya kulevya niliogopa na kuanza kulia nikiwaambia mm ni mgeni. Hawakunielewa walinibeba mzobemzobe mpka nje mmoja wao akanamby nimpe beg alikague nikasita kumpatia ghafla nikapigwa ngumi moja kama ile alpgwa mandonga nikadondoka chini nikawapatia beg huku nikitetemeka wakaniambia nisubr wanaenda kituoni kwenda kulikagua na ole wangu nikimbie. Nilikaa kuwasubiri mpaka giza likaini mpka kufika majira ya saa4 wale vijana hawakurud. Nikiwa nimekaa nisielewe nn cha kufanya alikuja mzee na mmoja na kuniulza mbna nimekaa hapo muda mrefu nikamuelezea yaliyo nisibu kwamba police wamechukua beg langu lenye pesa kias cha lak na nusu pamoja na simu. Mzee alicheka sana kisha akaniamby KARIBU JIJINI huo ndo ukaribisho wa wenyeji. Nikawa simuelewi anamaanisha ni nn akasema kijana umesha tapeliwa wale ni matapel. Nililia sana usiko huo.
003:
Nikiwa na hasira za kuibiwa nikaanza kulia kilio cha kwikwi ghafla usingizi ukanipitia.
Nilishtuka asubuh baada ya kusikia kelele za mwizi nika inuka na kuanza kimbia nisijue nakimbilia wap wala nakimbia kwa sababu ipi mara nikaona kundi kubwa la watu nyuma yangu wameshika mawe na marungu wakaanza nishambulia nisijue sababu ni nn mara nasikia watu wanasema dawa ya mwizi ni kuchomwa nikaanzalia kwa saut nikisema mimi si mwizi. Lakn hakuna aliye nielewa ndo kwanza kipigo kikazid ghafla nikaanza poteza fahamu huku nikiwa nakaribia kupoteza fahamu nikasikia kama nafalishwa tair nakumwagiwa mafuta nikafunga macho nisijue ni nn kilendelea.
Kwenye maisha mwanaume anapokuwa anapambana hupitia mengi mengine humfanya akaribie kifo. Wengne hukata tamaa lakn nakuambia usikate tamaa huwezi jua ni lini mungu atakuinua hata kama upo kwenye shida kiasi gan muhimu ni kuwa na imani kwa unachokifanya
ITAENDELEA...