Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

004....
Ghagra nikazinduka nikiwabado sieleewi Milo Wapi nilimuona askari pembeni yangu akiwa ameshikabunduki wakati nikiwa bado napepesa macho nilikuja gundua kwamba nina pingu mkonon na nipo katika kitanda cha hospital na nusu ya mwili wangu umefungwa bandeji nilituliza kichwa chini na kuanza kukumbuka matukio yote yalio nisibu ndani ya jiji la dar hakika nilijuta
Nilikaa hospital kwa wiki mbili huku nikiwa chini ya ulinzi baada ya kupa nafuu nilipelekwa mahabusu kusubiri siku ya hukumu yangu ifike.
Baada ya kukaa mahabusu kwa muda kidogo hatimaye siku ya hukumu ikafika . Kutokana na kukosa mtu wa kunitetea ama kuniwekea zamana mahakama ilonikuta na hatia hivyo kupelekea kuhukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi sita.
Baada ya mahabusu wengne kusomewa mashtaka yao wale tuliokutwa na hatia tulipakiwa kwenye karandinga la magereza .
Njiani nilikuwa na mawazo lukuki huku nikimuomba mungu awepamoja na mimi katika kipindi hiki kigumu wakat nikiendelea kuwaza ghafla nilishutuka askari akinishtua
"We kibaka shuka chap uelekee jehanam huku wanakaa wanaume acha kulegea watakupakua"
Nilitamani nimtukane yule askar ila nikakausha nakushuka taratibu.
Hii ndo ilikua mara yangu ya kwanza kuingia jela nilimuomba Mungu awe pamoja nami katika kipindi chote cha kifungo

Tukafanyiwa ukaguzi hakika ule ukaguzi ulikua ni udhalilishaji usiofaa hata kuhadithiwa.
Baada ya ukaguzi tulipewa sare za jera na kuanza kuelekea kwenye korido moja ndefu ambayo pembeni yake inavyumba vilivyojaa wafungwa
Wakati tunapita kwenye zile kordo baadhi ya wafungwa walianza piga kelele
""Mali mpya hizo mkuu ilete huku
Oya cheki watoto hao woyooooo"
Zilikua ni baadhi ya kelele za wafungwa baadhi ya wafungwa wageni. Nilioingia nao leo wengine walianza kulia hakika lilikua jambo la kuogofya kwa mwanaume mnyonge. Ila si kwangu mm ukorofi nilikua nimesha uzoea na ni moja ya sehemu ya maisha yangu.
Mlango wa chumba kimoja ulifunguliwa na njema tatu zilizo shiba zikasimama nikaingizwa kwenye hicho chumba na mlango kufungwa.
Baada ya muda askari waliondoka.
Nikasikia askari kwa mbali akisema
"Malizenu hizo zindueni usiku kucha"
Yale manjemba yakainuka huku yakionyesha dalili zote chafu za ngono njemba moja ikasema
"Mmmh mtoto mlaini kabisa huyu"
"Oya wataka kunifanya nn!. Ikabidi nijikaze kuulza
"Ahh mchumba unakoroma sio"
Njemba moja ikazungumza huku ikichezesha kifua chake. Sikitishika mana maisha ya ubabe nimeyazoea.
Oya sihitaji ugomvi na mtu mjue"nikasema
Njemba moja ikasema
"Oya toa boksi la kundom tumtoe bikr*mwali wetu"
Nikawa nawaza akili mwangu na kujua huu ni wakati wa kulinda heshima yangu kama mwanaume kamili

Nikampiga kichwa cha pua njemba iliyokua mbele yangu kwa spd kubwa nikampiga kiwiko cha shingo njemba ya pembeni yangu yule alikua nyuma yangu akanikaba robo lakini kwa haraka nikampiga kisukosuko cha sikio manjemba yote yakaanza ugulia maumivu. Njemba moja ikasimama nikaipiga ngumi ya kifua likacheka nakuanza tetemesha kifua ikasema piga tena mrembo. Nilivuta mguu kwa nguvu zote na kumpiga teke la kaikati ya miguu (pumb**).likapiga ukunga wa nguvu.
Baada ya nusu saanjemba zote zilikua hoi kwa kipigo nilicho wapa. Nilisimama na kujishika na nondo japo nilikua nimechoka.
"Si kila mwanaumeni mwanaume wa kumchezea waseng* nyinyi.
Usiniangalie mbwa wewe.
Nilianza kutamba na kuwa mbabe ndani ya kile chumba..
Askari mmoja alipita na kushangaa yale manjemba yamelala chini akaita askari wenzie na mkuu wa gereza akafika pale kwenye chumba nilichopo niliogopa nikajua leo naenda kufa.
"Mtoeni huyo"mkuu wa gereza alitoa amri.
Askari mmoja alinishika nakuanza niburuta. Wafungwa wengine walianza kushanagaa mana nilikua napokea kipigo kitakatifu. Niliburuzwa mpaka kwenye moja ya chumba kimoja kidogo. Mlango ukafunguliwa na kuingizwa ndani ya kile chumba.
"We chokoraa utakula jeuri yako"
Mlango ulifungwa na wale askari wakaondoka.
Mule ndani kulikua na joto sijapata ona na vile nilikua na vidonda hakika yalikua mateso makali.
Mateso ndani ya kile chumba yalinifanya nikumbuke nyumbani lakini nilikua sina namna ya kufanya zaidi ya kuendelea kuvumilia. Baada ya asubuhi kufika nikajua kuna askari atakuja nifungulia ndani ya lile gereza lilipo gerzani. Lakini haikua kama nilvyo fikiri mpka giza linaingia hakuna askari alifika. Mpaka siku nyingine inafika ndo mlango ulikuja funguliwa mida ya saa9 nikatolewa nje. Nikapelekwa mpaka nje sehemu ya chakula. Nikiwa eneo la chakula nilishangaa badhi ya wafungwa wakininyooshea vidole. Nilvyo fika sehemu ya mstari nilishangaa wafungwa wananipisha kwenye mstari mpaka nikafika mbele na kuchukua chakula. Nilikuja gundua baadhi ya wafungwa walikua wananioga baada ya kusikia nilipiga njemba tatu kwa mpigo. Bas hali ile ilinisaidia kukaa jela bila kuonewa mpaka nikaja maliza kifungo changu
.........ITAENDELEA.................
Chai ya suturungi hii
 
JamiiForums-188530487_698x439.jpg
 
Back
Top Bottom