Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

005......
Baada ya kutoka jela nilingi mtaani kwenda kupambanana maisha ya mtaani. Jinsi mtaa ulivyo nipokea si kama nilivyo tarajia. Ulinipoke kwa mateso na dhiki nyingi mpaka nikatamani kufu mana kuna kipindi niliweza kaa mpaka siku4 bila kutia chochote mdomoni hakika yalikua maisha ya tabu isiyo elezeka kwa maandishi.
Bada ya kuteseka kwa kipindi kirefu nikapata wazo la kwenda tafuta maisha nje ya nchi na sehemu niliyo ifikiri kwa wakati huo ilikua ni s.africa (bondeni)kama wengi wapaitavyo.
Ila nikaona kabla ya kwend sauth niende kwanza nchini kenya kupata uzoefu.
Nilitafuta vibarua kwa nguvu zote ili niweze pata pesa ya kijikimu ntakapokua safarini.
Baada ya miezi mitatu ya kupambana nilifanikiwa kuwa na kiasi cha sh150,000/. Niliona hiyo itatosha kwa mahitaji yangu mpaka kufika nchini kenya.
.......
 
006....
SAFARI YA KENYA
Ilikuwa ni majira ya sa9 alasiri jiji la dar lilikua katika pilikapilaka zake kama lilvyo zoeleka watu wengi walikua bidhe na shughuli zao ila kwangu ilikua tofauti mana nilikua nimejiinamia na kuwaza juu ya safari niliyopanga kuifanya. Wakati huo nilikua nasubiri gari ya mizigo aina ya fuso limalize kupakia ili niweze kupata lift ya kuelekea tanga. Nilipanga niweze kuingia kenya kupitia mpaka wa horohoro.
Saa10:25 mzigo ulimalizwa kupakiwa na safari ilianza. Njiani tulitumia muda mwingi kwa maana dereva hakuwa mtu wa fujo mungu alisaidia sa4 usiku tulifanikiwa kufika tanga. Tanga ilikua ni mji mzuri na tulivu usio na pilikapilika za kuchosha kama ilivyo dar. Kutokana na story tulizokua tunapiga kwenye gari kati yangu na dereva pamoja na utingo nilifanikiwa kuwaeleza shida yangu na wakaahidi kunisaidia kunikutanisha na mwenyeji wa hororo atakaye nisaidia kufuka mpaka kwa njia za panya
 
007...
tulifika horohoro sa6 usiku na kukutana na mtu atakaye nisaidia kufuka mpaka. Nilimlipa dereva pesa yake kiasi cha sh10,000 kama tulivyokubaliana na yeye akaondoka na kuniacha na mwenyeji wangu wa hapo horohoro. Alikua ni kijana wa miaka kati ya 30-35 alionyesha ni mtu mtulivu asiyependa maneno mengi.
Baada ya nusu saa tulikua tumekubaliana kwamba nitamlipa kiasi cha sh20,000 bada ya kuvuka mpaka na kuingia kenya. Safari yetu ilianza sa8 usiku baada ya kumaliza kupata chakula hapo nyumbani kwa kijana atakaye nivusha mpaka. Tulipita njia ya mapori kwa pori ajabu nilishangaa kukutana na watu wanavuka kwa njia ya panya hawakuwa wachache ni mpishano wa watu eidha wanamizigo ama wako tupu lakini njia ile ilikua imechangamka kama vile ni mchana na watu wale wanafanya shughuli halali.
Tulitembea kwa mwendo wa lisaa na nusu mpaka kutokea kwenye kamji kadogo. Mwenyeji wangu aliniambia hapo ndo utakuwa mwisho wa yeye kua pamoja nami
............,
 
Kumbe kaja mwingine na zile hadithi za nitarudi baadaye, ahahahaaa...
 
SEMA NYIE JAMAA MNAONGEA SANA UTAFIKIRI MMELAZAMISHWA KUSOMA
 
Back
Top Bottom