Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #81
Kuzungumzia atrocities za utumwa, is like a taboo topic, niliwahi kuongea hayo, Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama nikasomewa hadi itkaf na albadir, kwa vile sio wa imani hiyo, siamini hayo mambo na haikunihusu!.Hivi atrocities kule Zanzibar ilitokea tu 12 January 1964 tu huko siku za awali wakati wa Utumwa hakukuwa na atrocities, au hizo atrocities za wakati wa Utumwa hazitatazamwa wakati wa Judgement Day!?
Mkuu nimefanya kazi uarabuni miaka ya tisini kwa mkataba wa miezi kwahiyo najua ninachokiongeawamekubagua wapi hao waarabu wewe ? punguza chuki mkuu haziwezi kukufikisha popote
Kha! Nisingependa usomewe Tena kwa mara ya pili itkaf!! Lakini, ningependa kujua hoja Yao, hao wasoma itkaf, ilikuwa ni ipi katika kupinga kuhojiwa atrocities wakati wa Utumwa?Kuzungumzia atrocities za utumwa, is like a taboo topic, niliwahi kuongea hayo, nikasomewa hadi itkaf .
P
Mkuu nimefanya kazi uarabuni miaka ya tisini kwa mkataba wa miezi kwahiyo najua ninachokiongea
Msikilize Prof.Lumumba.sas uarabuni na Zanzibar wapi na wapi?
Hoja yao kwenye utumwa, Zanzibar lilikuwa ni soko tuu, wao wanaletewa, ila hawakamati, Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama walipanda hasira baada ya kunituhumu kuwa mimi ninachuki na Wazanzibar, na mimi nilivyo open and transparent, si nikafunguka jinsi ninavyowapenda dada zao na kila nikija Zanzibar, lazima nile vyakula vya Kizanzibari... Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? Ikawa kesi!, walikasirika hao na wakaja juu kama moto wa kifuu!.Kha! Nisingependa usomewe Tena kwa mara ya pili itkaf!! Lakini, ningependa kujua hoja Yao, hao wasoma itkaf, ilikuwa ni ipi katika kupinga kuhojiwa atrocities wakati wa Utumwa?
Huwezi kumzuia Mwafrika kuongelea Afrika Prof.Lumumba ni kama Okello tu.prof Lumumba kahusikaje na Zanzibar mkuu?
Shinje Shokera Shing'weng'weHiyo SSS ni code ya SSH au ?😏
Aisee! Nitalazimika kuzirejea hoja zote kwenye hizo nyuzi mbili ulizoweka ili niwaelewe vizuri. Nashukuru sana!Zanzibar lilikuwa ni soko tuu,
Huyo sultan mbona ni mweusi kuliko wewe,mama yake mndengerekoUingereza ni Mzungu anamtawala Mzungu mwenzake.
Iweje Sultani Mwarabu awatawale Waafrika wakati Waarabu hawawezi kukubali kutawaliwa na Sultani wa Kiafrika huko Uarabuni.
Wakuwaiti walimkataa wazi wazi Mwarabu mwenzao aliyekuwa amezaliwa na Kijakazi wa Kihabeshi kwasababu ni Mweusi.
Nendeni mkatawale Oman,Afrika hatujitaji Usultani tunataka zibaki Jamhuri tupu.
Ni muendelezo wa Masultani wa Kiarabu waliofanya unyama mkubwa dhidi ya Waafrika weusi hatumtaki na kama akija asimamishwe Mahakamani.Huyo sultan mbona ni mweusi kuliko wewe,mama yake mndengereko
Wapo zenji toka 1600, wakati huo babu zako wapo zambia na waunguja wengi wa leo wapo tabora,akina mapuri(kinyamwezi tembo), sultan ni mzawa zaidi zanzibar kuliko hussein mwinyi(mnyamwezi)Ni muendelezo wa Masultani wa Kiarabu waliofanya unyama mkubwa dhidi ya Waafrika weusi hatumtaki na kama akija asimamishwe Mahakamani.
Tumewaondoa Masultani wa Kiarabu kwa nguvu, Masultani wa Kiarabu hawana nafasi kwenye Afrika HURU, kama unawapenda sana nenda kaishi Sultanate of Oman.Wapo zenji toka 1600, wakati huo babu zako wapo zambia na waunguja wengi wa leo wapo tabora,akina mapuri(kinyamwezi tembo), sultan ni mzawa zaidi zanzibar kuliko hussein mwinyi(mnyamwezi)
Wewe siyo mzanzibar,nenda kwenu utusini ukachomekwe pembe la ng'ombeTumewaondoa Masultani wa Kiarabu kwa nguvu Masultani wa Kiarabu hawana nafasi kwenye Afrika HURU kama unawapenda sana nenda kaishi Sultanate of Oman.
Hatutaki ukoloni Zanzibar itabaki kuwa ni Jamhuri ya Kisecular.
Mimi ni Mwafrika Ufugaji wa Ng'ombe ni Asili ya Mwafrika, kamwe sitolamba makalio ya Sultani wa Kiarabu.Wewe siyo mzanzibar,nenda kwenu utusini ukachomekwe pembe la ng'ombe
Nimemwambia nenda ukachomekwe pembe la ng'ombe utusini,achana na zanzibar na wazanzibarMimi ni Mwafrika Ufugaji wa Ng'ombe ni Asili ya Mwafrika, kamwe sitolamba makalio ya Sultani wa Kiarabu.
Halafu niwaulize ninyi Machotara mbona mnapenda kuenzi upande wa Mwarabu huku mkidhihaki upande wenu wa Uafrika? Kumbuka ukienda Uarabuni wewe ni Al Abidi tu hata kama una Damu ya Kiarabu.
Mnahitaji mapinduzi ya Kifikra.