Story za mkeo/mpenz wa ndoa


yaani my love SnowBall, umesema vema, nakukubali all the way,

Hapo nilipopigia mstari chacha hapo, nachukia na huwa siongei kitu tena saa nyingine bila hata aibu anasifia mbele yangu wakati mimi nilishapresent kwake kitu kama hiyo akaiponda nakwambia hata 6*6 performance nitaifanya poor, it real demoralise woman am telling u man out there, if u have ears, listen this pls loooh!!
Thanx sana baby SnowBall...
muah!!
 

Si kweli kwamba ni kawaida ya wanaume waongeaji kutopenda wanawake waongeaji.

Kuna wanaume waongeaji waliojaa vacuous talk, wamejaa majisifu kumpita Kiranga na kila mara wanataka waonekane wao wako juu (kumpita Kiranga, can you believe that?)

Kuna wanaume wengine wengi wa maneno na wanapenda wanawake wenye wingi wa maneno.

Mie mamaa wangu tukikaa hatuishi kuongea istilahi za Kiswahili, siasa, quantum physics, tamaduni za Watanzania kulinganisha na watu wa nje, etc.

Na heshi kuniburudisha kwa kila asemalo, maana ni kichwa. Na mie siishi kumpa vi quiz vya kiajabu ajabu, mara nimuulize maana ya maneno magumu ya kiswahili kuona kama anakikumbuka bado, mara kuongelea habari za Vladimir Putin na mkono wake wa chuma, mara muungano, mara familia zetu.

Basi ilimuradi karibu kila nitakalosema ni muziki masikioni pake, na yeye kila mara heshi kunishangaza kwa kunipa namna mpya ya kuangalia mambo, iliyojaa manzili, ucheshi wa shajara, haiba ya madaha, utanashati na mlahaka, nazaa zote za kike na nakawa iliyo hidaya maridhawa ya kuupa moyo wangu fanaka kuliko johari na libasi, iso dhihaka, uzembe wa kufikiri wala inda na kisirani.

Kwa hiyo twapeana utumbuizo murua sote, bila kashfa.

Na kukanusha maoni yako.
 
Unajua kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?
Hili la wanawake kujifanya na wao wana vibesi ndani ya ndoa ndo vinachangia sana ndoa kuyumba.

sio vibesi tuanhitaji kuwa pampered na kubembelezwa sometimes japo life ni ngumu but as a wife nikideka nategemea kudekezwa hata kwenye teremka tukaze ntalala na mapenz yote utapata, nyama ya ulimi inajenga nyumba atiii
 
hahahaha nimejikuta naangua kicheko
Mie kuna vistory nikianzisha nikiona sisikilizwi nabadilisha direction
Nikianza tu Mbunge wa Jimbo la Igunga kavuliwa Ubunge hivi ilikuwaje ?
Napata kampani nzuri sana ya maongezi...
 
Kama unaona mna kopu jua wewe ndio mwongeaji yeye umemfundisha kuongea tu. Lol. Si unajua watu wakikaa muda mrefu wanafanana.

Mume wangu si muongeaji lakini si yule yule niliyeolewa nae...na yeye story ameshazijua ...lakini siwezi sema ni muongeaji bado.

 

heheee mmenichekesha sana na majibizano yenu, mmenikumbusha kuna kamsemu kalivuma miaka ilee ya 80s sijui mlikuwepo..?, ''WATOTO HAWA BWANA, KULA WANAKULA, KUVAA WANAVAA, LAKINI MMMH! KASHESHE!!''
heheheeeeee
 

Love u more baby wangu lol, menimaliza kabisaa
 
I wish ningekupa mifano hai hasa ya wanawake wanasiasa lakini ntakuwa sijawatendea haki.
Ni ngumu mtu muongeaji na muongeaji wakawa compatible believe it or not...
Sisi tuna kipaji cha kuongea na hakuna aliyeolewa au kuoa muongeaji ...and we are all happy with our partners.

Mtu mwongeaji anapenda kupata msikilizaji...sasa kama wote waongeaji nani atamsikiliza mwenzie????

Ila nakubali mkimya na mkimya mwenzie wanaweza kuwa compatible...ila mwongeaji na muongeaji...Mhhhh. Nyumba si itageuka kilabu cha pombe...kila mmoja anataka kusikilizwa?

Ndio maana nikasema hata mimi nikikutana na anayenizidi kuongea huwa nakaa kimya maana sipendi kelele...napenda story ambazo ni smooth.

 

Huyu tumekutana, ndo maana tukamaindiana. Hakuna wa kumfundisha mwenzake, kila mmoja mjuaji.

Halafu haiba yake inamruhusu hata anapokosoa anakwenda kwa upole na hekima kama alilelewa katika kasri la Mfalme Suleiman vile.
 
aaaaagh kwa kifupi wanaume hawapendi umbea, ndo maana nakukatiza na mistori yako....

heheheheeee sasa mbona huniambii au unanionea aibuuuu....? heheheheeee1 lol
 
madame labda unaongea kupitiliza, loh, punguza....

nimejaribu kupunguza na kuacha kabisa ila bado nikaambiwa nimekuwa kiburi kwa kukaa kimya sasa nifanye kipi? au hapendeki huyu? au ungekuwa wewe ungefanyaje...? jamani mbona vijimambo hivi?
 
hahahaha nimejikuta naangua kicheko
Mie kuna vistory nikianzisha nikiona sisikilizwi nabadilisha direction
Nikianza tu Mbunge wa Jimbo la Igunga kavuliwa Ubunge hivi ilikuwaje ?
Napata kampani nzuri sana ya maongezi...

Inaonyesha mumeo na wewe wote ni waongeaji ila mnapishana 'context'..
Wewe ukimletea za shigongo yeye anakuletea za Chadema.....duh!!!
 
Mpaka nimeamua ku google...naendelea ku search mawazo ya wataalamu wa relationship

[h=1]Talkative wife and quiet husband?[/h]Hello friends, I wanted to ask the compatibility between spouses who are very different from each other, for example a wife who is talkative and a husband who is quiet and reserved. How is the romantic/love compatibility between them. Is it true that a talkative wife needs a husband who is macho in a bad boy sense. Do soft romantic/cuddly type husbands not turn them on. Just curious. It will be better if married people answer.


by emotiona...

Member since: 28 January 2008 Total points: 58,036 (Level 7) Badge Image:


[h=2]Best Answer - Chosen by Asker[/h]It is better if one is out going and the other is reserved. Or two reserved people. But two out spoken people do not work they always fight.


  • 3 people rated this as good


Asker's Rating:
Asker's Comment: Thanks. Almost everyone had a good answer for this one.

There are currently no comments for this question.
* You must be logged into Answers to add comments. Sign in or Register.

This question about "Talkative wife and q… " was originally asked on Yahoo! Answers India

[h=3]Other Answers (8)[/h]

  • by Baldev Member since: 19 October 2007 Total points: 6,542 (Level 5)
    Dear friend, first of all clear all your confusions and doubts that there is no relation between being talkative and being romantic, you don't have to be talkative to be romantic ok … on the contrary silent and reserved kind of people are more romantic … romance is about showing how much you love, the love that you have in your heart and not in your mouth …
    To show how much a man loves his wife he can do many things like giving her gifts, planning a romantic dinner or a movie, say I love you, care for her and all sorts of things … AND no matter how much talkative a girl is she cannot speak while kissing which is a everyone knows a way of showing love …

    And girls love to talk and always gets attracted to someone who listens … what can be a better match than this one …
    • 1 person rated this as good




  • by pleasure... Member since: 21 June 2011 Total points: 210 (Level 1)
    Women have verbal ability more than men. Men are more rational so they talk less, think more. Women talk more think less because women are less rational as compared to men. History knows only male geniuses. Women talk without understanding the responsibilities while men say anything with responsibility. The chief responsibility of running a family always rests on the male members. So be responsible, head your family and control your wife by your ideological hegemony. The purpose of marriage is children and the continuity of the family line, not sexual satisfaction.
    [h=3]Source(s):[/h].


  • by roshan Member since: 13 October 2009 Total points: 199 (Level 1)
    after marriage there is no question for comparison, talkative wife always want similar type husband, unless it will create big problems. im facing such kind of problems. im very talkative but he is silent, they want their wife also to be silent everytime, so it will make stress and sad, loneliness etc etc.. But there will not be any problem if wife tries or control to be silent everytime, communicate with others that is the best way.. or go for divorce


  • by CajunRed... Member since: 09 February 2010 Total points: 6,798 (Level 5)
    well me and my husband are that way, but he's also very mono toned and apathatic by nature so he aggervated me to death, but he's a good guy. I do wish i would have married an extroverted fun talkative guy instead but my husband is a good dad, and a good man so i count my blessings....but i THINK the more you are ALIKE, the better the match, even though most couples are opposite...opposites attract.....but i think they then repel each other! lol


  • by Dana Pani Member since: 31 May 2011 Total points: 420 (Level 2)
    Ext ream edge of both are worst, they cant live longer. Best is one has to compromise. Compatibility depends on other behavior at home, outside and on bed. Definitely a talkative person would love macho in bad boy but soft romantic/cuddly would also do the best because it would be all one way. No barrier for her to talk.


  • by R A V I Member since: 02 May 2006 Total points: 1,062 (Level 3)
    Marriage itself compromising either in love or in arranged. If you have compromising mind then only your marriage life will good.Talkative,Soft,romantic doesn't matter.You have to scarify so many things for your partner. Every man is hungry tiger in bedroom, no need to worry about it.
    • 1 person rated this as good




  • by kissesxo... Member since: 05 November 2006 Total points: 1,068 (Level 3)
    this is how my husband and I are but when it comes to sex he isn't so quiet any more lol.
    [h=3]Source(s):[/h]Life
    • 2 people rated this as good




  • by Rather be dead than red... Member since: 01 May 2006 Total points: 15,728 (Level 6)
    Depends on whose the boss in bed.

 

Thanx Fixed Point, wacha nikitafute niongeze maujuzi
 
...Ni ngumu mtu muongeaji na muongeaji wakawa compatible believe it or not.....Ila nakubali mkimya na mkimya mwenzie wanaweza kuwa compatible...ila mwongeaji na muongeaji...Mhhhh. Nyumba si itageuka kilabu cha pombe...kila mmoja anataka kusikilizwa?.

nyumba kubwa tunaposema mtu mwongeaji hatusemi kupiga makelele..tunamaanisha 'charming' au 'engaging' person. Naona unachukulia mifano ya wanasiasa kama waongeaji wazuri..wengine wengi ni wapiga makelele...just 'noisy people'..Ila nashangaa unakubali compatibility ya watu wakimya ila unakataa ile waongeaji..

Nakubali kuwa mtu aweza kuwa mkimya but kama anapata mtu ambaye ni mstorishaji..taratibu aweza kuwa 'engaged' na kuwa mstorishaji mzuri aiseee...
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wasiopenda kuwasikiliza wake zao wanapoteza nafasi nzuri ya kuwajua wake hao, au hawataki kuwajua zaidi.

Yote mawili si mazuri kwa mapenzi. Kama kweli wanawapenda.Swala lenye huenda.
 

bora akuitikie then upotezee kuliko kumkatisha shida itakuja pale anakuuliza swali wewe unaitikia eeh heheeee utakuwa umekamatika lol.
kwa suala la kuongea wanawake ni nature na wanaume wao nature yao kutembea so ikubali kama mapungufu ya mwanamke na uongee nae akupe muda mbona sie tunasikiliza vizuri tuu, sio umkatish vuup! nooh mueleze kwa upendo na hatuongei kila wakati coz masaa 12 anashinda job nami nashinda job so ni masaa 3 tu kweli unashindwa vumilia na si kila siku coz kuna siku nami nakuwa off mood sijisikii kuongea hata,
 

hongera nyumba kubwa, thats true kabisa, ni bahati kupata anaekuelewa, shida ni kwamba wakati mnaanzana alikuwa nasikiliza hadi wewe ndo unachoka now looh ukianza tuu anakwambia twende tukalale aaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…