sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,424
- Thread starter
- #121
I am a man buddy but i beg to differ with your proposition..
Sio kweli kwamba stori za wamama wengi zimejaa majungu yasiyojenga..la hasha
Kuna cases na cases na kwa hili la huyu mdada inawezekana kuna kitu kinachokosekana kabla na baada ya stori..
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa 'cordial reception'..ambayo ni namna ya kumfanya mwenzako kupenda unachoongea..Ukisha kosa hiyo kitu hata kama zitakuwa stori zinazohusu mapesa..hamuwezi kufika mwisho.
Ninakubaliana na Kiranga kwamba mume kama kichwa cha nyumba na familia anayo 'stake' katika kubadili mwelekeo wa stori na 'flow' nzima ya maongezi. Tukiaminishana hapa kwamba wanawake wote wanapenda 'gossips' tutakuwa hatuwatendei haki..na mara nyingi tu unaweza kuta mwanaume the same stories ambazo anaziona za kishenzi kwa mkewe akipigiwa na mtubaki anafunguka ile kinoma...
yaani my love SnowBall, umesema vema, nakukubali all the way,
Hapo nilipopigia mstari chacha hapo, nachukia na huwa siongei kitu tena saa nyingine bila hata aibu anasifia mbele yangu wakati mimi nilishapresent kwake kitu kama hiyo akaiponda nakwambia hata 6*6 performance nitaifanya poor, it real demoralise woman am telling u man out there, if u have ears, listen this pls loooh!!
Thanx sana baby SnowBall...
muah!!