LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mtaani hakunaga watu wanaheshimika Na kuogopeka kama madalali. Madalali wengi wa mjini Daslamu inasemekana wanakuwaga wanashirikiana Na mtandao wa majambazi katika Ku enforce maagano/ mapatano wanayo ingia Na watu wanao wasaidia kuuza property zao.
Kanuni Moja ya mtaani kuhusu madalali ambayo huwa haivunjiki Ni HII hapa" KAMA UNAUZA PROPERTY YAKO LETS SAY SHAMBA , NYUMBA AU KIWANJA KWA SHILINGI MILIONI THELATHINI UKAWAFUATA MADALALI WAKULETEE MTEJA ANUNUE PROPERTY YAKO NA KWAMBA WEWE UNACHO TAKA NI SH MILIONI 30 BASI KAMA WATAUZA ZAIDI YA MILIONI 30 YOTE ITAKAYO ZIDI NI HALALI YAO, HALAFU MADALALI WAKALETA MTEJA AKANUNUA HIYO PROPERTY KWA SHILINGI MILIONI MIA SABA BASI WEWE YA KWAKO INABAKI HIYO HIYO MILIONI 30 NA MADALALI WANAPIGA KIBUNDA CHA MILIONI 670 YANI HAIPUNGUI HATA SH KUMI NYEKUNDU..
UKIENDA KINYUME NA MAKUBALIANO HAYA ADHABU YAKE HUWAGA NI KUUWAWA..
Basi huko mitaani Kuna story nyingi Sana za watu walio uwawa baada ya kukiuka makubaliano Na madalali..
Mwaka 2003 Kuna jamaa alipewa Kazi ya kuuza nyumba iliyopo nje kidogo ya Jiji la DSM. Mwenye property alikuwa mdogo WA huyo jamaa ambae alikuwa Ughaibuni..
Mwenye Mali alikuwa anataka sh milioni 80 . Kaka MTU ( Alie kabidhiwa kuuza ) akawaambia madalali yeye anataka milioni Mia itakayo zidi ya kwao. Madalali WAKALETA MTEJA WA sh milioni Mia nne Na themanini.. Pesa ikapitia kwenye akaunti ya jamaa. Jamaa akaingia tamaa akawapa madalali bia, kitimoto Na sh milioni mbili jamaa ( madalali) wakajua ametoa hiyo Kwa Sababu ya furaha ya mali yake kuuzwa wakijua Kesho yake wataenda Benki kumalizana.. inafika Kesho yake jamaa kimya kupigiwa simu akaanza kuwaletea hadithi ZA kwamba kwani Mali Ni Yao Hadi wao wachukue pesa yote hiyo mara nne ya Pesa anayo chukua mwenye Mali, akawaambia hiyo milioni mbili aliyo Wapa Ni nyingi Sana. Few weeks later he was shot dead akiwa bar anakunywa ikasemekana wale madalali ndio wali order hiyo hit.
2. Mzee mmoja msomi Na yeye vivyo hivyo kaweka shamba lake sokoni anataka milioni Mia Tu ikizidi ya madalali, madalali wakapeleka MTEJA WA milioni Mia tatu Mzee akaingia tamaa, yeye pia aliuwawa Na alipo uwawa inasemekana mkewe alienda kuwalipa madalali Pesa Yao yote .
Hoja ya madalali Ni kwamba Hakuna kitu kigumu kama kumshawishi tajiri anunue property ya mamia ya mamilioni.. wao wametumia akili kumshawishi tajiri anunue Mali yako so u pay them Kwa ushawishi Na akili waliyo itumia...
Let's wait and see kitu Gani kitatokea mtaani baada ya tamko la MH waziri but all in all madalali sio watu wazuri. They know alot