Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

Hahahahahahaaa!! Watadili n wakuja cyo born in town.
 
Kasema madalali wote duniani wataenda peponi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe jamaa boya sana
 
Yaani m 100 kwa milioni 400?
Hyo hesabu mtu yeyote hawezi kukubali.
Labda umpe dalali Uhuru mwambie akatangaze Bei anayoona yeye inafaa alafu utampa % zake.
NI Kama dalali wa samaki.
Bei anapanga yeye
Unamtajia bei ya chini (lower limit) mfano mil. 100 akiuza mil. 400 wote mtafaidika maana mtakuwa mmekubaliana asilimia....
 
Siuzi mwenyewe. Kwann niuze mwenyewe na madalali mpo?

Naiweka sokoni na madalali nawaambia hii nyumba nataka m100 ntawapa m25 ntabaki na 75 ila mkileta zaidi tunakaa chini upya mnanipa 100 yangu nawapa 25 yenu halafu tunazumgumzia hiyo iliyozidi tunagawanaje Full stop.

Kinyume na hapo siuzi na mkinishambulia hakikisheni mmeniua kweli waliobaki watalipiza kisasi. Mkishindwa kuniua mnakufa nyie. BULLET FOR BULLET OR BUSINESS FOR BUSINESS. KWANI UNATAKA TUISHI MILELE?
Hio 'kinyume na hapo...' inakuja baada ya kupokea fedha ama kabla?

Waliobaki walipize kisasi cha upumbavu wa tamaa zako? Labda kama wao ni wajinga

Ungeiweka hivi ningekuelewa:-
Kwakuwa tayari unafahamu ukiwazunguka watakumaliza, basi itakubidi uwamalize wao punde tu mzigo utakapotua kwenye Acc. yako.
 
Nimesema 100 wewe unaleta wa 400 kwanini? Kwanini hufuati maelezo kuwa inahitajika 100? Usipofuata maelekezo umevunja makubaliano tunakaa chini tunakubaliana upya.
Sasa huo ni wivu na roho mbaya! Na ndio ilikuwa hulka ya mwendazake

Wewe chako umepata cha mwenzio kinakuuma nini? Hukuwa na akili ya kuthaminisha mali yako kwa 400 leo hii unajifanya mjuaji. Lead will rain on you young blood.
 
Hio 'kinyume na hapo...' inakuja baada ya kupokea fedha ama kabla?

Waliobaki walipize kisasi cha upumbavu wa tamaa zako? Labda kama wao ni wajinga

Ungeiweka hivi ningekuelewa:-
Kwakuwa tayari unafahamu ukiwazunguka watakumaliza, basi itakubidi uwamalize wao punde tu mzigo utakapotua kwenye Acc. yako.
Wewe sio mtu unayenihusu huwezi pata sababu ya kunilipizia kisasi nikiuwawa kwa sababu yoyote ile. Na sioni msingi wa kuzungumza na wewe hii hoja.
 
Sasa huo ni wivu na roho mbaya! Na ndio ilikuwa hulka ya mwendazake

Wewe chako umepata cha mwenzio kinakuuma nini? Hukuwa na akili ya kuthaminisha mali yako kwa 400 leo hii unajifanya mjuaji. Lead will rain on you young blood.
umauzi wangu upe jina lolote litakalokupendeza.

Ni hivi, kama ukipata wa pungufu ya bei unataka tukae tuzungumze basi ukipata wa juu ya bei tukae pia tuzungumze hutaki siuzi wewe nenda andaa mipango ya kuniua.
 
utakufa kweli ohooo shauri yako
 
Mambo ya kujimwambafai nyuma ya keyboard mkileta kwenye maisha halisi yatakuja kuwagharimu, pengine sio nyinyi tu ila hata na vizazi vyenu. Msilete masihara kwenye kazi za watu. Mtu kwa hiari yako umetaka 100m, watu wamepambana wamekuletea, zaidi ya hapo unataka nini sasa?
 
Huyo jamaa na huyo mzee ni tamaa zao tu. Mtu ukitaka kuuza kitu kwanza fanya tafiti ujue kitu chako kina thamani gani na utaweza kuuza kwa bei gani kulingana na uhitaji wake mtaani.

Tatizo hao walikurupuka kutaja hizo million kadhaa wakidhani ni pesa kubwa mnoo na haiwezi kufikiwa na wengi. Walikosea sana na walikwenda nje ya makubaliano.
 
utakufa kweli ohooo shauri yako
We unataka kuishi milele? Hujawahi nusurika kifo?
Hujawahi hata toka msaidia jirani yako kujibizana risasi na majambazi?

USIFANYE MAAMUZI YASIYOKUPENDEZA SABABU UNAOGOPA KIFO.

USIZULUMU MTU PIA KWA KUA HUOGOPI KIFO.

HAPA MM SIMZULUMU DALALI,

MM NATAKA FEDHA KUTOKA KATIKA AKILI YAKE YA KUTAFUTA WATEJA KAMA YEYE ANAVYOTAKA PESA KATIKA NYUMBA NILIYOJENGA.

WIN WIN SITUATION. MBONA AKILETA WA BEI YA CHINI ANATAKA TUZUNGUMZE NAMNA ITAKAVYOATHIRI MALIPO YAKE? KWANN ASITAKE HAYO MAZUNGUMZO PESA IKIWA KUBWA? TUUANE TU.
 
Ukimkabidhi dalali Mali yako,usiwe na tamaa.Tamaa mbaya.
Kuna jamaa alitaka kuuza trekta yake used kwa 5M,akakubaliana na madalali.madalali wale Waka uza 9M.Jamaa akaingiwa na tamaa .wale madalali Wakamchomekea mkia wa twiga,jamaa alikamatwa na polisi na alihonga pesa yote 9M.Usicheza na madalali,ukiwatumia madalali ni vyema ukawalipa kulingana na makubaliano.
 
Mambo ya kujimwambafai nyuma ya keyboard mkileta kwenye maisha halisi yatakuja kuwagharimu, pengine sio nyinyi tu ila hata na vizazi vyenu. Msilete masihara kwenye kazi za watu. Mtu kwa hiari yako umetaka 100m, watu wamepambana wamekuletea, zaidi ya hapo unataka nini sasa?
Tell them
 
wafafanulie watu hapo kuhusu mkia wa twiga
 
Mambo ya kujimwambafai nyuma ya keyboard mkileta kwenye maisha halisi yatakuja kuwagharimu, pengine sio nyinyi tu ila hata na vizazi vyenu. Msilete masihara kwenye kazi za watu. Mtu kwa hiari yako umetaka 100m, watu wamepambana wamekuletea, zaidi ya hapo unataka nini sasa?
Sio nyuma ya keyboard. Watu wengine wanatoa maoni kulingana na uzoefu na uhalisia wa walivyoishi.

Nimefanya biashara ya madini unatoa mzigo kwa kuaminiana tu bila mkataba uvushwe boda, nimekuwa dalali mpaka nilipofika hapa nilipo naelewa nazumgumza nini.

Ni hivi kama wewe ni dalali, ukitumwa leta m100, ukapata m500 unarudi kwa tajiri unamwambia imepatikana 500 mm nataka mia 200 au 150 juu ya ela ya awali. Lazima umuheshimu mwenye mali maana Kuna siku wewe ndo utauza mzigo wako. Na mwenye mali lazima aheshimu kazi uliyofanya.

SASA NYINYI MADALALI WA NYUMBA NA VIWANJA MPOJE🤣🤣🤣🤣
YAANI UNILETEE MIA, ELA IMEPITA KWENYE AKAUNT YANGU NITOE MIA TATU NIKUPE? CAPITAL GAIN SERIKALINI INALIPWAJWE?
 
Tumekubaliana nyumba nauza m100 wewe nakupa 25 ukiniletea mia nne lazima tukae chini tukabaliane upya maana makubaliano tuliyafanya kwenye m100 sio 400 kama hutaki NIUE TU. KWANI TUNAISHI MILELE? Mbona ukipata wa m50 unauliza kwanza kama ni sawa na itakuaje kabla hujamleta?

hapo naona mkubaliane kua cut yake ni 25% na min price ni 100.
 
Back
Top Bottom