JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hiyo Sahihi.hapo naona mkubaliane kua cut yake ni 25% na min price ni 100.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Sahihi.hapo naona mkubaliane kua cut yake ni 25% na min price ni 100.
Udalali pia ni kazi usikwazike legend.Mkuu tuheshimiane tafadhali, kila anaechangia kinyume na mawazo yako ni dalali?
Wale madalali walipo dhulumiwa pesa zao,wali enda kuchonga na mkuu wa kituo cha polisi kilichopo eneo la tukio.kama tujuavyo polisi Wana kilakitu .wakapewa mkia wa twiga na kwenda kumuwekea jamaa nyumbani kwake kwa kificho.Ghafla jamaa akaona polisi wanakuja,hakuwa na wasiwasi Kwani yeye ni mkulima.baada ya polisi usearch kwa muda mrefu wakaukuta mkia wa twiga kwenye rundo la kuni kavu.jamaa pale pale akawa chini ya ulinzi Tena kwa kosa la ujangili ambalo hakuna dhamana.kilichofuta kinafurahisha.wafafanulie watu hapo kuhusu mkia wa twiga
Sio kosa lako, acha nikupuuze tuUdalali pia ni kazi usikwazike legend.
Ogopa madalali.madalali hawashindwi na chochote.madalali hata polisi Wana waheshimu.Kuna mzee mmoja wa kichaga alikua anakaa ilala,alikua anauza Nissan Patrol yake 15M,wale madalali wakaleta mteja wa 25M ilikua saa 6 mzee wa kichaga akawanyima cha juu,ilipofika saa 10 jioni wakavamiwa na majambazi wakachukua yote 25M,ila hawakumuua mzee wa kichaga
Ukipuuza hakuna tatizo. Puuza tu.Sio kosa lako, acha nikupuuze tu
Kubadili mwelekeo kivipi?Ogopa madalali,wanaweza kubadili mwelekeo wa maisha yako.
Usiwape cheo kikubwa namna hii mzee, hili kundi ni kundi la kawaida sana kwenye jamii isipokuwa limebeba watu waongeaji na wanao jua kutia mikwara mizito ila kusema kwamba polisi wamewashindwa madalali wakati hata mfumo wao wa kazi haupo kisheria hiyo sio sahihi.Ogopa madalali.madalali hawashindwi na chochote.madalali hata polisi Wana waheshimu.
Soma reply post #63Kubadili mwelekeo kivipi?
Soma kwa umakini reply post#63Usiwape cheo kikubwa namna hii mzee, hili kundi ni kundi la kawaida sana kwenye jamii isipokuwa limebeba watu waongeaji na wanao jua kutia mikwara mizito ila kusema kwamba polisi wamewashindwa madalali wakati hata mfumo wao wa kazi haupo kisheria hiyo sio sahihi.
Hilo ni tukio kama matukio mengine ambalo linaweza kufanywa na kundi lolote kwenye jamii, kama umeishi Tz kwa muda hata wa miaka mitano lazima utakuwa umewahi kukutana na kesi za kubambikiziana na vyanzo ni vitu mbalimbali aidha biashara, siasa au hata madalali kama unavyo sema.Wale madalali walipo dhulumiwa pesa zao,wali enda kuchonga na mkuu wa kituo cha polisi kilichopo eneo la tukio.kama tujuavyo polisi Wana kilakitu .wakapewa mkia wa twiga na kwenda kumuwekea jamaa nyumbani kwake kwa kificho.Ghafla jamaa akaona polisi wanakuja,hakuwa na wasiwasi Kwani yeye ni mkulima.baada ya polisi kusearch kwa muda mrefu wakaukuta mkia wa twiga kwenye rundo la kuni kavu.jamaa pale pale akawa chini ya ulinzi Tena kwa kosa la ujangili ambola hakuna dhamana.kilichofuta kinafurahisha.
Madalali ni balaa.
Wewe hizo shoo za madalali zinazoelezwa ni za kuandikwa umetulia siti moja !?Mbona umeandika kama unakimbizwa 😄
Nimefanya biashara ya madini unatoa mzigo kwa kuaminiana tu bila mkataba uvushwe boda, nimekuwa dalali mpaka nilipofika hapa nilipo naelewa nazumgumza nini.
Ni hivi kama wewe ni dalali, ukitumwa leta m100, ukapata m500 unarudi kwa tajiri unamwambia imepatikana 500 mm nataka mia 200 au 150 juu ya ela ya awali. Lazima umuheshimu mwenye mali maana Kuna siku wewe ndo utauza mzigo wako. Na mwenye mali lazima aheshimu kazi uliyofanya.
SASA NYINYI MADALALI WA NYUMBA NA VIWANJA MPOJE🤣🤣🤣🤣
YAANI UNILETEE MIA, ELA IMEPITA KWENYE AKAUNT YANGU NITOE MIA TATU NIKUPE? CAPITAL GAIN SERIKALINI INALIPWAJWE?
Nasema madalali Wana mtandao mkubwa.Fikiria Waka enda kwa mkuu wa kituo Cha polisi na kuwaka wazi biashara yote na kupewa nyara ya serikali ili wamlipue jamaa.Narudia madalali so wakubezwa hata kidogo.Hilo ni tukio kama matukio mengine ambalo linaweza kufanywa na kundi lolote kwenye jamii, kama umeishi Tz kwa muda hata wa miaka mitano lazima utakuwa umewahi kukutana na kesi za kubambikiziana na vyanzo ni vitu mbalimbali aidha biashara, siasa au hata madalali kama unavyo sema.
Kwa hivyo sio kama jambo la kutisha sana hilo
Hapo mwenye nguvu ni serikali (police) na police ni mtu anae weza kula dili na yeyote yule regardless n dalali au sio.Soma kwa umakini reply post#63