Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

Madalali yanataka pesa za dezo dezo hapa mjini kupitia kwenye migongo ya waliovuja jasho na damu kutafuta pesa ....!

Waziri kazi hapo hapo ,hawa ni wahuni na majambazi kabisa ,haiwezekan kunionesha apartment ya laki 4 kwa mwezi ,Mimi nimlipe mwenye nyumba Kodi ya miazi 6 bado na wewe dalali nikulipe laki 4 nyingine ,.....huu no wizi kabisa kudadekiii
 
Short and clear, uza mwenyewe usiwashirikishe......pesa mwanakharamu...!!!
Siuzi mwenyewe. Kwann niuze mwenyewe na madalali mpo?

Naiweka sokoni na madalali nawaambia hii nyumba nataka m100 ntawapa m25 ntabaki na 75 ila mkileta zaidi tunakaa chini upya mnanipa 100 yangu nawapa 25 yenu halafu tunazumgumzia hiyo iliyozidi tunagawanaje Full stop.

Kinyume na hapo siuzi na mkinishambulia hakikisheni mmeniua kweli waliobaki watalipiza kisasi. Mkishindwa kuniua mnakufa nyie. BULLET FOR BULLET OR BUSINESS FOR BUSINESS. KWANI UNATAKA TUISHI MILELE?
 
Sisi tulichukua nyumba bila dalali.

Mmoja wetu (asietaka iyo nyumba) alienda na dalali wakazurura akapata nyumba ila akajofanya hajaipenda. Akasepa, akamchorea ramani yule anaeitaka. Jamaa straight akaenda kwenye nyumba akaongea na maza house, akakubali maza house akailipia.

Kurudi madalali kesho na mtu wanasema nyumba imelipiwa. Wakajaribu kumjua alielipia wanakuta sura ngeni. Wakajua wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.
 
Hii ni Propaganda kama Propaganda zingine, haiwezekani Mali yangu nikuambie milioni mia ulete mteja Wa Mia nne eti nikuachie milioni mia tatu kiboya, nakupa 10% yako tu hapo. Na LA kunifanya huna..
Heshimu makubaliano/agano. Watakuua Na Pesa hutoitumia. Hiyo Ni torati ya mtaani.
 
Sisi tulichukua nyumba bila dalali.

Mmoja wetu (asietaka iyo nyumba) alienda na dalali wakazurura akapata nyumba ila akajofanya hajaipenda. Akasepa, akamchorea ramani yule anaeitaka. Jamaa straight akaenda kwenye nyumba akaongea na maza house, akakubali maza house akailipia.

Kurudi madalali kesho na mtu wanasema nyumba imelipiwa. Wakajaribu kumjua alielipia wanakuta sura ngeni. Wakajua wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.
Bora alivyo fanya hivyo vinginevyo angepigwa risasi. Madalali Ni kama majambazi
 
Heshimu makubaliano/agano. Watakuua Na Pesa hutoitumia. Hiyo Ni torati ya mtaani.
Wanapenda kuogopeka, Binafsi nimejijengea mazingira Madalali hunisikiliza kile naamua Mimi, na bado Biashara tunafanya kama kawaida.. Ukiwaonesha Hofu watakutisha sana hawa..

Biashara kibao nimewahi kuwazunguka na hawakuthubutu kukohoa, zaidi anakuja kujichekesha ili umpooze na chochote kitu..

Kikubwa ni ujiamini tu.
 
Madalali ni sooo kwanza wengi ukiwaona tu na Ile team Yao wanapena connection maneno Yao tu ni mafumbo mafumbo na yamekaa kimafia sana wale level zao ni majasusi maana Wana element za uspy wewe mtu anatafuta mteja wa kununua Mali ya millions of 💰 na anampata ndani ya siku chache tu Huyo mtu wa mchezo?
Yes u have spoken my mind dalali sjo MTU WA kumchukulia poa hata kidogo
 
Wanapenda kuogopeka, Binafsi nimejijengea mazingira Madalali hunisikiliza kile naamua Mimi, na bado Biashara tunafanya kama kawaida.. Ukiwaonesha Hofu watakutisha sana hawa..

Biashara kibao nimewahi kuwazunguka na hawakuthubutu kukohoa, zaidi anakuja kujichekesha ili umpooze na chochote kitu..

Kikubwa ni ujiamini tu.
Umekutana na learners bro au Pesa haikuwa nyingi. Madalali Wana mindset kama ZA majambazi. Jambazi Mali ya mtu anaona kama ya kwake Na anaionea uchungu kama Mali yake vile. Just be careful bro
 
Madalali ni sooo kwanza wengi ukiwaona tu na Ile team Yao wanapena connection maneno Yao tu ni mafumbo mafumbo na yamekaa kimafia sana wale level zao ni majasusi maana Wana element za uspy wewe mtu anatafuta mteja wa kununua Mali ya millions of 💰 na anampata ndani ya siku chache tu Huyo mtu wa mchezo?
Ndio maana wamiliki WA nyumba wanawaogopa Na kuwaheshimu mno Kwa Sababu wanajua mziki wao. They know a lot of dark arts
 
Jamaa ni wachawi sana, wanashawishi maboss wenye noti nyingi kwa madawa.

Inabidi kuheshimu makubaliano.
 
Back
Top Bottom