Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Km ni mtoto wa kike hiyo tabia acha. Utakuja uende ukweni ukabambwa. Kwani si itaiva ipakuliwe ilike yann kutia tia vdole mboga[emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtoto mzuri hadi saiv, eeh mchumba ninaye.Atakuwa mmoja wao wala usiende mbali.
Kwa hiyo kwasasa una mchumba sasa maana unaonekana ulikuwa mtoto mzuri.
Hahaa asante, nlijuta mbona.
Ni mtoto mzuri hadi saiv, eeh mchumba ninaye.
Kwanini lakiniVizuri saana endelea kuwa mtoto mzuri.
Sema sijapendezwa na hapo nilipokoleza wino kabisa.
Kwasababu siwezi kukudokoa.Kwanini lakini
Kudokoa unaweza ila kujipakulia ule kwa uhuru ndio huweziKwasababu siwezi kukudokoa.
Basi tena ushafeli, pole sanaKwasababu siwezi kukudokoa.
Haha ilikuwa kijijini mabarafu hayakuwepo. Nilikuwa nakula maandazi na vidude fulani vinaitwa vibama... Saint Anne bila shaka unavijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mimi nakunywa Konyagi. Mini huyu? Kwamba K Vant zimeisha au?
Jamaa naona uko kikazi kwa kisingizio cha udokozi...Atakuwa mmoja wao wala usiende mbali.
Kwa hiyo kwasasa una mchumba sasa maana unaonekana ulikuwa mtoto mzuri.