Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

Nakukumbusha tu waliwahi kutafuta wakandarasi wakawapeleka hadi kwenye kile kiwanja chao cha Kigamboni.

Nisaidie kuuliza vipi ujenzi wa ule uwanja wa kigamboni walioahidiwa umefika asilimia ngapi.

Mjumbe hauwawi.
Wanapigwa pesa za consulting tu
 
sasa kama kuandika tu hujui,ufahamu wa ujenzi utautoa wapi,eti namhusia,kuhusia ni nini? kama umevimbiwa makande nenda chooni ukajambe
 
subira yavuta kheri
 
Nakukumbusha tu waliwahi kutafuta wakandarasi wakawapeleka hadi kwenye kile kiwanja chao cha Kigamboni.

Nisaidie kuuliza vipi ujenzi wa ule uwanja wa kigamboni walioahidiwa umefika asilimia ngapi.

Mjumbe hauwawi.
Kigamboni ni plan b na kule vitajengwa viwanja vya mazoezi na hosteli za vijana, yanga anaangalia zaidi eneo la kibiashara litakalompa mapato kule kigamboni utafanya biashara Gani? Ndio maana uwanja unajengwa Kaunda sehemu ambayo vitawekwa vitega uchumi maana ni town na yanga ataingiza mapato ya kutosha ilo amlijui kwa vile mnaongozwa na mangungu wote akili kazichota kaziweka kiganjani mwake!
 
Nakukumbusha tu waliwahi kutafuta wakandarasi wakawapeleka hadi kwenye kile kiwanja chao cha Kigamboni.

Nisaidie kuuliza vipi ujenzi wa ule uwanja wa kigamboni walioahidiwa umefika asilimia ngapi.

Mjumbe hauwawi.
sikia tukwambie ndugu usoyejua kitu kiwanja wa kigamboni,tunajenga hostel na kambi ya mazoezi na mchakato wake unasubiri tukamilishe usajili wa wana hisa
 
Unajua maana ya "Plan B", tuanzie hapo kwanza
 
Mbona kama unalialia na kuumia tu ndugu kwa maumivu! Ni wivu ndiyo umekuzidi, au!! Uwe unafurahia jirani yako akifanya kitu kizuri, ma ndipo na wewe utabarikiwa.

Binafsi kama shabiki wa Yanga nitafurahi sana kuona na sisi timu yetu ina uwanja wake binafsi kama ilivyo kwa vilabu vichanga nchini; mfano Azam, Mtibwa, Ihefu, Namungo, nk. Na wewe unatakiwa uombe yule mwekezaji wako mjanja mjanja, na yeye aje na mkakati wa kujenga uwanja wa timu.

Mambo ya kuendelea kutegemea viwanja vya serikali na vile vya ccm! Au kwenda kuhemea uwanja wa Azam Compex; ni upumbavu wa kiwango cha juu sana kwa timu zilizoanzishwa miaka zaidi ya 80 iliyopita.
 
mbele ya hela hakuna kinachoshindikana,labda shida iwe siasa za simba na yanga+uswahili lkn kujenga kitu kwenye mkondo wa maji sio shida kwa mainjinia wabobezi,WE WAHAKIKISHIE BAJETI YA MRADI KISHA WAACHE WAFANYE MAAJABU YAO

Athari za Rage, Mangungu na Try Again ndio zinaanza kuonekana sasa hivi. Pale uwanja utajengwa.

Time has a wonderful ways of proving us wrong. Tuendelee kula mtori
Mnaota kujenga uwanja kama wa Chelsea bila kujua wanasayansi wametabiri miaka 25 ijayo unaweza kuwa chini ya maji. Jiandaeni kisaikolojia kuhamia kijiji cha Kitopeni A huko Bagamoyo maana mmezoea kukaa vijijini. Tena hamtakuwa wageni huko maana kuna kipindi kila derby mlikuwa mnaenda kujificha huko.
 
Mswahili ukimwambia ukweli anakimbilia kusema una wivu na chuki dhidi yake. Mnapendwa kudanganywa ili nafsi zenu zifurahi kama alivyosema Papasa.

Badala ya kunishukuru kwa kukusanua unaongea habari za viwanja vya CCM. Unashabikia timu haujui hata wamiliki wake ni kina nani na mizizi yake iko wapi
 
Sasa wewe kinachokuuma ni Nini? Umeichangia ata mia mbovu mpaka uumizwe na pesa za wanaume wenzako? Kuna pembe limepulizwa kuomba msaada kwenu? Ndio maana nasema mangungu ataendelea kuwaongoza sana kitendo tu Cha kuwaletea manzoki kwenye uchaguzi na mkapiga makofi na kura mkampa badae akatokomea ndipo nilipojiridhisha aina ya wanachama wanaoongozwa Wala sishangai kwa hizi hoja zako!
 
Tatizo lako unakimbilia kwenye hitimisho kabla hata huo mchakato haujafikia mahali popote. Na ndiyo maana nimekuweka kwenye hilo kundi la watu wenye wivu na husuda.

Na kwa sasa jitahidi tu ubaki humo humo. Siku ikitokea huo mchakato ukageuka kweli kuwa changa la macho; basi utakuwa na haki ya kuja kuongea chochote utakacho jisikia.
 
Sisi si wale wa uwanja wa Bunju..!!
 
Statement zako mtu akizisoma tu anajua hautetei hoja wala haukosi kwa maslahi ya wahusika

Unakosoa kwa ushabiki na kuzodoa
Imagine hoja ya majengo ya miaka 40 yanahusinaje , hoja dhaifu sana mkuu
 
Kosoa kwa hoja zinazojenga kama mdau wa maendeleo , unakosoa kwa kuzodoa na kashfa kama unaishi Manzese mkuu
 
Bila kuzodolewa hamuelewi kitu nyie
 
Unadhani nimekurupuka kuyasema haya?
 
Kosoa kwa hoja zinazojenga kama mdau wa maendeleo , unakosoa kwa kuzodoa na kashfa kama unaishi Manzese mkuu
Uyo hana hoja Bali wivu tu unamsumbua wenzao wanapiga hatua 10 kwenda mbele wao wanapiga 20 kurudi nyuma na Anataka iwe Kama wao Sasa huo si upimbi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…