ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Njoo utingishe tako lako hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanhekuwa na mawazo kama yako Uholanzi wangekufa njaa.Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.
Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.
Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.
Povu ruksa.
Soma:Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.
Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.
Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.
Povu ruksa.
unajua wewe ni mbumbumbu utakayeumbuka vibayaHizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.
Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.
Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.
Povu ruksa.
Soma:
Ujenzi wa Uwanja wa Timu ya Young Africans Kuanza Mwezi Ujao.
Mapema leo, Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng. Hersi Said wamekutana kwenye kikao maalumu cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Serena Hotel, Jijini Dar Es Salaam Kikao hicho kilijikita zaidi kwenye kujadili ajenda mbili, Hatua ya mchakato wa mabadiliko ya...www.jamiiforums.com
Tusubiri tuone. Halafu hivi kati ya CEO na Rais nani ana cheo kikubwa?unajua wewe ni mbumbumbu utakayeumbuka vibaya
Kwanini haukusubiri kabla ya kuja na hilo andiko la mhemkoTusubiri tuone. Halafu hivi kati ya CEO na Rais nani ana cheo kikubwa?
Jiandai kisaikolojia utakapoona kazi ya ujenzi inaanza.Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.
Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.
Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.
Povu ruksa.
Ndo hapo sasa.Kwanini haukusubiri kabla ya kuja na hilo andiko la mhemko
mpe elimu uyo uto pia mm nmeshangaa kwl ukistaajab ya GSM utaona ya hersi iv wenye akli knan nn pale uto? Mwambie ili ufke the blue chels n unavuka dara syo et imejengwa mtoni kama yy ana fkrUmenichekesha sana, eti "Chelsea kajenga uwanja juu ya daraja na chini maji yanapita", ndio mnavyodanganyana huko vibanda umiza?
sasa kama kuandika tu hujui,ufahamu wa ujenzi utautoa wapi,eti namhusia,kuhusia ni nini? kama umevimbiwa makande nenda chooni ukajambe
subira yavuta kheri
Kigamboni ni plan b na kule vitajengwa viwanja vya mazoezi na hosteli za vijana, yanga anaangalia zaidi eneo la kibiashara litakalompa mapato kule kigamboni utafanya biashara Gani? Ndio maana uwanja unajengwa Kaunda sehemu ambayo vitawekwa vitega uchumi maana ni town na yanga ataingiza mapato ya kutosha ilo amlijui kwa vile mnaongozwa na mangungu wote akili kazichota kaziweka kiganjani mwake!
Kwa upeo wako na heshima yako hukutakiwa kuchangia uzi huu mzee wangu weee njoo huku kwenye ule uzi kula kimasihara
pale hapashindikani wanja kujengwa tena utakua moja ya kivutio
Zile hela za ujenzi wa uwanja wa simba ziko wapi tena nirudishieni huku 2 yangu nikiwa hangia Bata wahed
Ni kawaida kwa watu wenye kufungua " whatsupp" channel ya klabu na kuona ndio mafanikio yao kuwa na wivu wa kike.
Watanzania kwa kujua kila kitu kawaida yao , kama unawajua nje ndani means unawajua watanzania wengi, hongera
Ila mpunguze makasiriko
Tutajenga jangwani pamoja na bunju🤣.halafu urudi na unaa wako hapa😁
Nawewe unasikiliza kelele za wivu za huyu thumbs sposi?
Maji siyo kikwazo mwambie sense Venice Italy au Uholanzi akajifunze.
Tumkumbushe tu kwamba hersi ni engineer
Tangu lini serikali ikafilisika,,? Atafilisika Mo kushindana na serikali,,
Ukiona adui yako anakulalamikia ujue upo sahihi, ukiona anakusifia ujue kuna sehem unafeli! GSM endeleeni kakaza hapohapo hivi vilio ni ishara njema kwetu sisi wadau🤣🤣
Njooni mtuambie ujenzi unaendeleaje hapo Mchafukoge? Nasikia mnaenda kuwa dampo la mitumba na ghala la mahindi na magunia ya viazi.Si rahisi bila kuifunga Yanga hata kama una hela. Kuna serikali pia hasa serikali za manispaa na ngazi za mikoa. Nyingi ni timu zilizoanzishwa na kulelewa na wanayanga.
Subiri muda utaongea.Njooni mtuambie ujenzi unaendeleaje hapo Mchafukoge? Nasikia mnaenda kuwa dampo la mitumba na ghala la mahindi na magunia ya viazi.
nakazia madaKwanza Yanga TV ilifikia wapi?
Kwani imekufa? Sijaiona kitamboKwanza Yanga TV ilifikia wapi?