Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Wanawake wenyewe kizazi hiki ni aina ya mbunge wa Iringa mjini ataanzia wapi kuwashauri, 50/50 imeiyumbisha sana dunia
😁😁, 50/50 tatizo na sisi tumekubali mapema sana, tungefanya maandamo aise,
 
Ukishindwa kuwa na ujuzi katika kuleta mafanikio ktk mahusiano basi tumia hata sifa na heshima.

Mwanaume anapenda sifa za kwake yani usimlanganishe hapo mbn tutapambana mpk hela itatuogopa.
 
Ukishindwa kuwa na ujuzi katika kuleta mafanikio ktk mahusiano basi tumia hata sifa na heshima.

Mwanaume anapenda sifa za kwake yani usimlanganishe hapo mbn tutapambana mpk hela itatuogopa.
Hili ni tabia ya kila mwanamke, na wengine hufika mbali zaidi, huoni mwenzio chakubanga alivyo.......?, bila kujua kwamba inaweza athiri kiasi fulani kwa mwenza wake.
 
Nimeipenda sana hongera mkuu...ushauri na uzingatiwe
 
Wanawake wajitahidi sana wasiwe single maza. Soko lao la kuolewa ni gumu sana

Kwa kumalizia wajitahidi kabla ya 27 wawe wameolewa. Kuanzia 27+ huyo ni msimbe

Nao kama single maza soko la kuolewa ni gumu sana

Wajitahidi vipi kwani wao ndio waaanzisha suala la ndoa,acha kuwatwisha mizigo.

Ushauri ndoa iwe ya wake zaidi ya mmoja kidogo itapunguza hii jam mitaani
 
Wajitahidi vipi kwani wao ndio waaanzisha suala la ndoa,acha kuwatwisha mizigo.

Ushauri ndoa iwe ya wake zaidi ya mmoja kidogo itapunguza hii jam mitaani
Miaka ya sasa kuwa na mke zaidi ya mmoja ni mzigo + magonjwa, ichangie huna kipato...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…