Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mtaji hauombwi kila siku[emoji2][emoji2] kwani mtaji sio pesa
Sawa.Mwanamke mweshimu na mtunze sana mwanaume anayekupa hela na kuamua kuyabeba majukumu ya wazazi wako
Hiyo ndio sababu KUUβ’ [emoji855][emoji855], kwa hiyo tuseme haya mambo yanaazia kwenye uleaji mtoto/watoto?,
β’ kama ndo hivyo basi yawezekana hata baadhi ya ndoa zinashindwa kudumu kwa sababu tayari amesharibika toka mwanzo.
Legendary mtupu ππΎUkitumiwa nauli...nenda
Message Zuri sana mkuu, wanafamilia wakifuata misingi na taratibu za namna hii, basi mambo madogo madogo, yatamalizwa kwa wakati sahihi.Wanaume tumeumbwa kuwa waungwana na kuwajali wanawake
Popote mwanaume atakapokutana na mwanamke atamtendea kiungwana na kujali
Ni muhimu pia mkatuthamini kwa hilo
Kujishusha ndiyo jibu la comflict yoyote kwenye mahusiano
Ukiwa na uwezo wa kujishusha umetibu kila kitu
Kujishusha uleta uwanja wa majadiliano
Kutambua mwenye kosa na kuombana samahani
Vizuri sana mkuu, Ngoja tuipitie hii threadWanawake wote wawaenzi waume zao kama kwenye kisa hiki:
Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua
Episode 1: Introduction. Hii episode ya mwanzo itakua zaidi ni utangulizi (introduction) ya kujua watu na maana ya maneno yalivyotumika. Tutajitahidi ziwe ni posts fupi fupi ili isiwe tabu kwa wasomaji. Hivi ni visa vinavyotokana na matukio ya ukweli kwa kiwango kikubwa. Tutatiriririka navyo...www.jamiiforums.com
Na hapa ipo πUkihitajika utaitwa[emoji1787]
Bikra 7G tena?[emoji16][emoji16][emoji16]β’ [emoji51][emoji51], pole sana mkuu, ingawa utoaji wa bikra ni shughuli kidogo,,
β’ Hata hizo zilizotolewa bikra zipo 7G mbona,
Nakazia No.2Sawa .ila muwe na shukrani basi mkishasimama
Sawa, tumelipokeaMwanamke usiwe na mwanaume mmoja atakunyanyasa sanaa