Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Wanaume tumeumbwa kuwa waungwana na kuwajali wanawake
Popote mwanaume atakapokutana na mwanamke atamtendea kiungwana na kujali
Ni muhimu pia mkatuthamini kwa hilo

Kujishusha ndiyo jibu la comflict yoyote kwenye mahusiano
Ukiwa na uwezo wa kujishusha umetibu kila kitu
Kujishusha uleta uwanja wa majadiliano
Kutambua mwenye kosa na kuombana samahani
 
Message Zuri sana mkuu, wanafamilia wakifuata misingi na taratibu za namna hii, basi mambo madogo madogo, yatamalizwa kwa wakati sahihi.
 
Wanawake wote wawaenzi waume zao kama kwenye kisa hiki:

Wanawake wote wawaenzi waume zao kama kwenye kisa hiki:

Vizuri sana mkuu, Ngoja tuipitie hii thread
 
Bikra 7G tena?[emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁, kuna mkuu hapo anajilaumu sana, hajabahatika kuizagamua bikra mpaka sasa. Ndo nikamwambia hata zilizotolewa bikra mbona zipo kasi ya 7G.
 
Back
Top Bottom