Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

20240121_100129.jpg
 
Naomba nikurekebishe kidogo kipengele A.

Hata kama akikukosea hupaswi kumuongelesha au kumjibu vibaya.
Busara ni kukaa kimya, baada ya muda ndipo kuongea nae kistaarabu kumfahamisha alikuvunjia heshima na hukupenda.

Otherwise, nakubaliana na mawazo yako mengine, na nitazingatia.
Thanks
Wazingatie hayo uliyoyaongeza hapo. Sikupingi

Zingatia usijeshindwana na yule kaka mzuri 😎
 
A. Kama mtu hajakukosea au kukuvunjia heshima usimuongeleshe au kumjibu vibaya.
B. Mwanamke ukiwa kwenye taratibu za kuolewa acha mazoea ya kuwasiliana na wanaume hasa ma ex itakugharimu na hawatokuwa na faida yeyote nawewe.
C. Mheshimu, mpende na kumjali mumeo bila kusahau kumuombea , usimloge.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]
 
Back
Top Bottom