smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
- Thread starter
- #21
Hii ni sawasawa na kusema uishi kama waswahili wanavyotaka wao yaani uwaridhishe ili kupata approval kutoka kwao.
kuishi maisha ya aina hiyo ndio mwanzo wa maugomvi, majungu, kununiana na kusemana kama kawaida ya waswahili. na ndio sababu uswahilini hakuna amani kama sehemu ambazo kila mtu humind business zake.
Ukitaka uishi kwa amani na kuheshimiana uswahilini basi hakikisha hakuna mazoea na hawa waswahili na uishi unavyotaka considering maisha yenyewe mafupi. au vinginevyo utaishi kwa tabu sana mpaka unakufa.
kingine haya mambo yapo mitaa ya uswahilini tu na unaweza kuyaapply uswahilini pekee.
sehemu ambazo kila mtu anamind mambo yake hakuna hizi vitu.
asante kwa maoni yako teenager