MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Umemaliza mkuu, pointi ya 6 imenisaidia sana kila sehemu napokwenda. Huyu atakuambia achana na yule ni mvuta bangi, mwizi nk, ila wewe mfanye rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natambua mchango wao mkubwa sana ..wakiamuaa kukulinda wewe na mali zako ata ukiacha geti wazi wanalifungaNaona unatetea kundi lako 😊
Kwa hiyo unapingana na mtoa mada??.Hii ni sawasawa na kusema uishi kama waswahili wanavyotaka wao yaani uwaridhishe ili kupata approval kutoka kwao.
kuishi maisha ya aina hiyo ndio mwanzo wa maugomvi, majungu, kununiana na kusemana kama kawaida ya waswahili. na ndio sababu uswahilini hakuna amani kama sehemu ambazo kila mtu humind business zake.
Ukitaka uishi kwa amani na kuheshimiana uswahilini basi hakikisha hakuna mazoea na hawa waswahili na uishi unavyotaka considering maisha yenyewe mafupi. au vinginevyo utaishi kwa tabu sana mpaka unakufa.
kingine haya mambo yapo mitaa ya uswahilini tu na unaweza kuyaapply uswahilini pekee.
sehemu ambazo kila mtu anamind mambo yake hakuna hizi vitu.
ndege JOHN km ndege JOHNNa sisi ndo wahuni wenyewe..shirikiana nasi
Kama unahitaji drugs,Malaya,mastori,mavibe tucheki
Karne hii kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na draft??SHIRIKI KWENYE VIJIWE VILIVYO KALIBU N HOME KWAKO.
Hii itakusaidia kujua maisha yanaendaje kitaa pia itakusaidia kutatua baadhi ya changamoto zako ndogo ndogo mfano vijiwe vya kahawa au drafti kuna watu wazima wanaweza kukuunganisha na kazi mambo ya mahusiano na menginemengi
AminiKwangu Mimi hii ndiyo mada Bora ya mwezi wa 6-7
imekaa vizuri sana hii. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]8. Epuka nyendo zako zote kuwa wazi sana machoni kwa kila mtu. Miche miche zako nyingi zisiwe zinatabirika. Kwa mfano, unapenda nini zaidi, hupendi nini, unatoka saa ngapi, unarudi nyumbani saa ngapi, unafanya kazi gani, una biashara gani, una mipango gani ya kimaisha, una miliki nini nk.
Hii imenishinda kabisa.SHIRIKI KWENYE VIJIWE VILIVYO KALIBU N HOME KWAKO.
Hii itakusaidia kujua maisha yanaendaje kitaa pia itakusaidia kutatua baadhi ya changamoto zako ndogo ndogo mfano vijiwe vya kahawa au drafti kuna watu wazima wanaweza kukuunganisha na kazi mambo ya mahusiano na menginemengi
kukaa kijiweni kupiga story na watu wa mtaani hili hata kwangu huwa linanishinda.Hii imenishinda kabisa.
Najua kuna mambo nayakosa kwa kutokaa kijiweni lakini sijazowea,kwanza naweza kukaa wakapiga stori ambazo sina interest nazo.
Watakaa waanze kubishana mpira na makelele na hapo kuna wazee,na kubishana kwa makelele siweezi kabisa mwishowe nikitoka wakati wanabishana wataniona ninaringa hivyo nasubiri watulie kisha naondoka kistaili ya aina yake.
Hii imenifanya nisijue majina ya watu ambao nipo nao mtaani wengi tunajuana kwa sura ila majina siwajui,lakini ajabu wao wananijua.
Jambo moja muhimu mtoa mada kagusia ni kununua vitu vidogo vidogo hapo duka la mtaani,jambo muhimu saaaana hili.
Mimi kuna wazee hununua kwao vitu kama sukari,dawa ya mbu,unga,sabuni za unga n.k
Hii imenifanya wanione peace sana kinyume na ambavyo walinichukulia huko nyuma
Jambo moja muhimu mtoa mada kagusia ni kununua vitu vidogo vidogo hapo duka la mtaani,jambo muhimu saaaana hili.
Mimi kuna wazee hununua kwao vitu kama sukari,dawa ya mbu,unga,sabuni za unga n.k
Hii imenifanya wanione peace sana kinyume na ambavyo walinichukulia huko nyuma
Sio kila siku ununue hapo,once in a whileNamba 3 sikubaliana na wewe kama Mangi anauza vitu bei ya juu wakati kuna sehem nyingine vitu bei ya chini