'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania


asante kwa maoni yako teenager
 
Umeongea point sana mkuu, ishi maisha yako tu.
 
Sehemu nyingi nilizokaa nimejifunza kumheshimu kila mmoja lakini sio kujenga mazoea na watu, ni salamu tu no story, hii imenisaidia kuepusha mambo mengi sana
yap yap
 
Stay with four fools you're going to be the firth πŸ˜…πŸ˜… waswahili wasikie tu una mpunga wako weka geti na tinted za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…