STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

Hii Kali.
 
Nimecheka mno.
 
Ningependa kama ningeweza
 

KENYAN
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
WATANZANIA
Kuna mambo muhimu matatu hatuyajui ndomaana hatuendelei kama wenzetu ulaya,,, tumekuwa tukiyafanya mambo haya kwa mazoea, [emoji51][emoji51]
MAMBO yenyewe hata mimi siyajui kwa 7bu namm ni mtanzania [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji85][HASHTAG]#bangi[/HASHTAG] nihurumie #[emoji85]
 
*Bibi kizee alikuwa kwenye meli.amevaa kofia na upepo mkali ukipuliza, akashikilia kofia kwa mikono miwili. huku gauni likapeperushwa na hakuvaa chupi. mtu mmoja akamuuliza,kwann unashikilia kofia wakat chini kukowazi hujavaa chupi? bibi akajibu: UCHI NINAO ZAID YA MIAKA 85.KOFIA NIMENUNUA JANA TU....*[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23]
 
Mwalimu aliwauliza wanafunzi
"1+1 ni ngapi"?
Mwanafunzi mmoja akajibu
"ni 4"
Mlevi aliyekuwa anapita nje akastuka...
"Tutakufa mwaka huu kila kitu kimepanda!
Nauli,Sukari, Bia, Chakula
....... mpaka 1+1 iliyokuwa 2 nayo imekuwa 4![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji374][emoji374][emoji24][emoji24][emoji24][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwalimu wa chekechea kawatoa wanafunzi wake nje..

Mwalimu:Angalieni juu, mnaona nini?

Wanafunzi:Mawinguuu!!!

Mwalimu:Vizuri, kingine je?

Wanafunzi:Hamna kingineee!!

Mwalimu:Je, Mungu mnamuona??

Wanafunzi:Hatumuonii

Mwalimu:Sasa tutaaminije?, me ninawaambia hakunaga Mungu.

Dogo mmoja akadakia,,,"Mwalimu, samahani kidogo!".

Mwalimu: "Bila samahani"

Dogo akatoka mbele...Anaanza kuwauliza wenzake,,,

Dogo:Angalieni kichwani kwa mwalimu, mnaona nin?

Wanafunzi:Nyweleee!!

Dogo:Vizuri, kingine je?

Wanafunzi:Hamnaaa!!!

Dogo:Mnaona akili??

Wanafunzi:Hatuiooniii

Dogo:Sasa tutaaminije?, mimi nawaambiaga hana akili huyu mwalimu.

Ile chekechea mpaka sasa imefungwa.
 
Kipindi nipo mtoto....kuna jamaa (kaka wa kitaa) aliniambia ukitaka kum-do mwanamke yeyote okota chupi yake na umpe, kwa haibu atakupa tu mechi ndani ya 6 X 6. Ile kitu ilinikaa kichwani kwa muda mrefu sana, baada ya kubalehe nilifanya jitihada ya kuiba chupi ya mdada fulani wa pale mtaani kwetu. Alifua nguo zake na kubandika kambani, kijana nikajitahidi kuiba ile chupi na kumpelekea nyumbani kwake usiku huku nilikuwa nimeifunga vizuri kwenye gazeti. Kufika kwake namgongea hodi na kumpa kilicho chake akanipiga kofi na kuniita mchawi huku akinikejeli kwa maneno ya hajabu. Yaani nililaani kuambiwa ule ujanja na yule kaka wa kitaa. Nyege yote ilinitoka.
 
Hahahaha iyo kali ya mwaka[emoji23]
 
Hah hah hah ingetokea upande wangu nadhani na mahusiano yangeishia hapo hah hah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…