Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HallelujahNamshukuru Mungu kwakweli nipo poa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HallelujahNamshukuru Mungu kwakweli nipo poa kabisa
Poa barabaraaMambo
TenaaaNzuri mkweee !
Nimekumiss mama...
Sakayo kafikisha kitenge chako
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
Nakumiss ujue?We nenda ila usipotee wala kuibiwa.
Niko poa kabisa kaka... La muhimu u mzima rafikiMaisha haya , dada yangu nashukuru Mungu Kwa uzima
Uko poa lakini
Afikishe wapi!! Namuangalia tu anavyojichekesha wakati kitenge hajaleta.Nzuri mkweee !
Nimekumiss mama...
Sakayo kafikisha kitenge chako
Peleka Kitenge cha auntie bhana..Tenaaa
Ha ha ha ha aaHaha [emoji23]
Huo ni uchochezi jamani
Weekend ndio hiyoo aiseeNiko poa kabisa kaka... La muhimu u mzima rafiki
[emoji3][emoji3][emoji3] Anacho..Agikishe wapi!! Namuangalia tu anavyojichekesha wakati kitenge hajaleta.
My dada nimekumiss jamani. Mzima weye?
Ebu niambie hata kiduchu tu ni ninii mbayaNinao nabaki nao moyonii
Hawajambo jamani... Kitenge tena auntie...
MmmmhAgikishe wapi!! Namuangalia tu anavyojichekesha wakati kitenge hajaleta.
Nielekeze bana nikwende huko nikiwa na safari ya kkoo nikajilie mapupu mie na chapati zanguUkija kula nauli ya mwendokasi mimi simo[emoji3]
Za mimi njema, ushapata supu ?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nina kesi na wewe mdogo wangu ujue.
Shikamoo mshkaji wanguMaisha haya , dada yangu nashukuru Mungu Kwa uzima
Uko poa lakini
Sitashangaa maana yeye vyangu vyake na vyake ni vyake. Kuna siku itabidi tu fimbo itumike.[emoji3][emoji3][emoji3] Anacho..
Isijekuta keshaenda kupimia sare manake sasa hivi wana sherehe za harusi na mashost zake hadi December hivi