Niahirishe hata kwa mrombo?Ishia hapo hapo jirani
Naimani Uko na siha njema!Ahaaaaa
Poa poa
WoyooooooooNimemuona bae wake mimi apa shunie
Kwa njia ya inboxEbu niambie unataka kutoa kwa njia ipiii
Kunywa choda JiraniJirani Si unajua huwa napoaje?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Shunie hayajui hayo mapupu,yanaonesha kabisa yamekaa kisharishari
Umeanza tena! Kama jana!Mmhh
Kwa mromboo njooNiahirishe hata kwa mrombo?
TehHaya na uchoyo wako
Ukiona ukimya ujue kuna jambo.....Nilishangaa kwa ukimya nikahisi labda tumeptwa!
Dr. KakatazaKunywa choda Jirani
Shunie wewe kiboko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], ila usijali mimi sio handsome sana Remy Ongala amenizidi kidogo tu.Ahahhahhah nalifahamu sana hilo jana mpaka naingia kulala sijaamini haujakuja ila ujue dada we ni mnaa hakiii youngblood nachangamsha nae jukwaa simjui hanijui masikini wala pm yangu haijui sema jana alinitisha anaonekana ni muhandsome si unajua me na wahandsome hatupatani napenda sura ngumu sura ya kiume
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Khaaaa Mwifwa veep wewe
Ooooh hayo ya ng'ombe au usikute ndio hayo tunakula we Mwifwa ebu kuja hapa unielezee lakini hapanaNi kama yale yanayoning'inia kwa beberu
Ahahahhh nacheka sana woiiii ujue sikufichi mie ninaokwambia ndio ukweli jamanHahahaaaa
Shunie unajuaga kujielezaaa, ulishakuwa mwalimu eeeh..... Jana sijaja sababu ndo honeymoon yenu, sikutaka kuwavuruga ujue.... Ila hongeraaaaaa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ni kama yale yanayoning'inia kwa beberu
Hapo sasa sawa.Ahahahhhh nitamwambia vizuri tukiwa wawili tu
Hapa nimekupigia goti mpaka chini slimMarahaba. Hujambo? Kwetu shikamoo km hiyo unaitoa huku unainama kidogo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halaf ujue we unanifanya nafanya kusudiWoyoooooooo
Aki bia ntaiita chodaaaa