Stress Free Zone

Stress Free Zone

Shunie wewe kiboko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], ila usijali mimi sio handsome sana Remy Ongala amenizidi kidogo tu.
Hapana we ni muhandsome ulimwambia Mwifwa umtumie pic pm akiiweka pm atazikimbia yeye yaan mm muhandsome sipatani nae jaman kila mtu anamtaka mambo ya kuanza kugombana na wadada wenzio kwa ajili ya bae muhandsome hapana jamaan huku unafikilia homa ya ini
 
Back
Top Bottom