Stress Free Zone

Stress Free Zone

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shunie wewe mapupu unakula mie sipendi yanavyodanadana mdomoni yaan kwa kifupi hayatulii yakatafunwa vizuri [emoji28]
Binafsi sipendi kitu cha kunisumbua akili yangu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nayapenda Ney kuna siku nilienda uswahilini huko nikakuta yanauzwa 500 acha nikule ya buku na chapati jamaan
 
Back
Top Bottom