Stress Free Zone

Stress Free Zone

Ahahhahhah nalifahamu sana hilo jana mpaka naingia kulala sijaamini haujakuja ila ujue dada we ni mnaa hakiii youngblood nachangamsha nae jukwaa simjui hanijui masikini wala pm yangu haijui sema jana alinitisha anaonekana ni muhandsome si unajua me na wahandsome hatupatani napenda sura ngumu sura ya kiume
Hizo sifa ninazo shunie wala usipate shaka, siku ukija mjini kula mapupu mambo yakuwa mubashara kabisa....
 
Ahahhahhah nalifahamu sana hilo jana mpaka naingia kulala sijaamini haujakuja ila ujue dada we ni mnaa hakiii youngblood nachangamsha nae jukwaa simjui hanijui masikini wala pm yangu haijui sema jana alinitisha anaonekana ni muhandsome si unajua me na wahandsome hatupatani napenda sura ngumu sura ya kiume
Hahahaaaa
Shunie unajuaga kujielezaaa, ulishakuwa mwalimu eeeh..... Jana sijaja sababu ndo honeymoon yenu, sikutaka kuwavuruga ujue.... Ila hongeraaaaaa
 
Back
Top Bottom