Stress Free Zone

Stress Free Zone

721f0b63e6ba4506c7bb254cc51d695c.jpg

Hapo panaitwa M.Degree!
 
Hivi kwani nilimfanyaje jamani....
Ujue T ana roho yake ya kipekee, aki Mungu anisamehe tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule mwanaume ana roho ya pekee kweli kuna siku alipost pic mwanaume kachuchumaa mwanamke kamkalia mgongoni ikaandikwa mwanaume yupi anahitaji kupata hii tuzo nikamwambia hiyo tuzo inakuhusu wewe akaniambia inamuhusu Lee nikamwambia Lee haimfai hana uvumilivu huo
 
Yaani T jamani, Mungu amtunze tuu apate wa kufanana nae!!! Aki ni wa kipekee sijapata ona!!!!!
 
Back
Top Bottom