TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Kuna umuhimu Wa kucheza mechi za kirafiki na Timu za nje Mara kwa Mara.
Hii husaidia sana kuwa timamu Wa mwili muda wote, pia inakupa uzoefu hata ukiingia uwanjani kucheza mechi kubwa unakuwa na confidence 100%. Hata kejeli za timu pinzani hazitaweza kukutoa mchezoni kirahisi..
Asante.