Stress zilinifanya nihisi kuwa na tatizo la nguvu za kiume

Stress zilinifanya nihisi kuwa na tatizo la nguvu za kiume

Hatari sana
Housewife Sometimes wanaboa sana, Kabla ya kuolewa wanakuwa Wapoleee. Wakishaingia ndani sasa, full kero, hasa ndoa za mke mmoja, wanatuoneaje?
Hayuko sexy wala romantic.
Unaweza kuwa juu ya kifua lkn yeye hayupo mchezoni kabisaaa.
Nyumba yako lkn inaboa haswaaa.
 
[emoji23][emoji23] tutajirekebisha.
Ila nanyi mtutreat vizuri basi tukutane half way ili wote tuenjoy.

Sema haya mambo nayo ni very complicated.
Yaani hata mnyonywe K, bado hamtabiriki.
 
Housewife Sometimes wanaboa sana, Kabla ya kuolewa wanakuwa Wapoleee. Wakishaingia ndani sasa, full kero, hasa ndoa za mke mmoja, wanatuoneaje?
Hayuko sexy wala romantic.
Unaweza kuwa juu ya kifua lkn yeye hayupo mchezoni kabisaaa.
Nyumba yako lkn inaboa haswaaa.
There u are
 
Back
Top Bottom