Stress zilinifanya nihisi kuwa na tatizo la nguvu za kiume

Kuna umuhimu Wa kucheza mechi za kirafiki na Timu za nje Mara kwa Mara.

Hii husaidia sana kuwa timamu Wa mwili muda wote, pia inakupa uzoefu hata ukiingia uwanjani kucheza mechi kubwa unakuwa na confidence 100%. Hata kejeli za timu pinzani hazitaweza kukutoa mchezoni kirahisi..

Asante.
 
Hatari sana
 
Imetukuta wengi hi na nineamini matatizo ya nguvu za kiume wanasababisha hawa wanawake, mtu unakuwa huna hamu nae kabisa
Hii hali inatukuta wanaume wengi sana.Ukipata shida zilizosababishwa na KE aisee unakuwa huna emotions na huwezi fanya hiyo kwichikwichi
 
😂😂 tutajirekebisha.
Ila nanyi mtutreat vizuri basi tukutane half way ili wote tuenjoy.

Sema haya mambo nayo ni very complicated.
 
Kingine,
Ikiwa huna mazoea ya kusex Mara kwa Mara, Mwili unazoea ile hali na huwez kuhimili MDA mrefu.,

Ila jins unavofururiza kusex,
ndo time yako kukojoa inavozidi kuchelewa.

Ndo maana wale wanaosex Mara kwa Mara wanakua the best kitandani.[emoji4]
 
True,hii watu wengi huwa hawaijui. Ukikaa muda mrefu unakuwa huna umahili kabisaaa. Ila kama kila wakati unachakata aisee unakuwa the best sn.
 
Sex is primarily Psychological( Mental)

Kama Asubuhi unapata Erection( early morning erection)basi you are Ok in the Physical ( Body) so usihangaike na mitishamba, kisukuma, kimasai, pweza, vumbi,kichina, kiarabu wala kizungu utaibiwa!

Kama una zinaa kaitibie hospitali

Huwezi kusex na mtu unaemchukia ( mental)
Huwezi kusex aliyeuvunja moyo wako... lazima italala kabla ya kuingiza!
 
Kijana uko vizuri sana.
 
Pole sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…