Shida inakuja pale utakapofanya vitendo vizuri bila ya Imani (huamini kuwa kuna mlipaji na wala huamini kuwa amekutaka ufanye vitendo vizuri). Utakuwa umefanyakazi bila mkataba.
Na ukiamini tu bila kufanya vitendo vizuri, ni sawa na kuwa na mkataba wa kazi na kazi ulioingia mkataba hutaki kuifanya. Hapo itokee huruma tu ya mwajiri.