Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Shida inakuja pale utakapofanya vitendo vizuri bila ya Imani (huamini kuwa kuna mlipaji na wala huamini kuwa amekutaka ufanye vitendo vizuri). Utakuwa umefanyakazi bila mkataba.
Na ukiamini tu bila kufanya vitendo vizuri, ni sawa na kuwa na mkataba wa kazi na kazi ulioingia mkataba hutaki kuifanya. Hapo itokee huruma tu ya mwajiri.
Madai ya Uwepo wa hicho cha kuingia nacho mkataba ni Kiini Macho.

Kama kweli kuna hicho kitu kinashindwaje kutafsiri wema wa MTU kuwa sahihi yake katika mkataba?

Dini zote zinafahamika zilipoaanzia, zote ni man made systems.

Hakuna mkataba wala mtoa mkataba, tenda wema kwakuwa Utu wako unakusukuma kufanya hivyo, laa ishi kulingana na hulka zako, na Anguko lako utajitengenezea mwenyewe nafsini mwako.
Tumechoka porojo zenu za kitumwa.
 
Back
Top Bottom