KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Dogo kastuka na mambo haya.Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoView attachment 2562578