FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nadhani ukielewa maana ya neno "Uislam" utaelewa kuwa wote tunazaliwa tukiwa Waislam.Je unazaliwa na kuwa muislam bila kushahadia? Je unaweza kuwa muislam bila kufuata nguzo za uislam? Quran inasema muislam wa kwanza ni nani na ili uwe muislam unatakuwa ufanyaje?
Unaelewa maana ya neno Uislam?