Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

waombee kwa Allah waweze kusimama imara katika dini ya haki. Hivi mtu akiritadi huwa anakatwa kichwa? Kuna jamaa mmoja sheikh sheikh, sijui Hamza Issa vile, siku hizi anaitwa Nabii Ilyas 😂
Umemuona kakatwa kichwa?
 
Salaaam ndug yangu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji2960]

Ramadan Kareem[emoji86][emoji86]
Salama Alhamdulillah , naona furaha tele na kunicheka na mimi nakucheka kwa dharau nitakutafuta siku za karibuni InshaAllah.
 
Mwacheni abadili maana yeye ni mtu mzima anajua anacho kifanya lakini inabidi tuelewe kuwa MUISLAM au MKRISTO si kigezo au ticket ya kwenda PEPONI bali matendo yako mema ya kumpendeza mungu aliyekuumba mtabishana hapa weee mwisho wa siku hakuna atakaye kubali kushindwa Afrika hizi imani zililetwa tuu kwetu enzi hizo kuna wimbo mmoja wa AFANDE SELE unaitwa DINI ZILILETWA utafute mwamba kaimba mambo ya msingi sana
 
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Clement Mzize amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.

Ramadhan Kareem

View attachment 2562549
Maskini baaasi tena....nyota imeshazima hiyo.
 
Ni uamuzi wake, ni maisha yake. Hata Shomari Kapombe naye tulisikia amebadili dini. Hivyo binafsi sioni kama kuna tatizo, zaidi ya kumtakia tu heri kwenye imani yake mpya.
Kapombe kazaliwa kwenye Ukristo na mpaka sasa yupo kwenye Ukristo.
 
Kapombe kazaliwa kwenye Ukristo na mpaka sasa yupo kwenye Ukristo.
Hapo umesema sawa, kwani hakuna anaezaliwa mkristo. Wanaozaliwa kwenye ukriisto ni wengi tu lakini wanapozaliwa wanazaliwa Waislam, si wakristo.
 
Hapo umesema sawa, kwani hakuna anaezaliwa mkristo. Wanaozaliwa kwenye ukriisto ni wengi tu lakini wanapozaliwa wanazaliwa Waislam, si wakristo.
Je unazaliwa na kuwa muislam bila kushahadia? Je unaweza kuwa muislam bila kufuata nguzo za uislam? Quran inasema muislam wa kwanza ni nani na ili uwe muislam unatakuwa ufanyaje?
 
Back
Top Bottom