Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoView attachment 2562578
Dogo kastuka na mambo haya.
JamiiForums-1926406625.jpg
 
Kadanganywa na mganga atachukua namba ya mayele na musonda!! Ukristu auchangamani na uganga.
 
Tupe mstari mmoja uliokufanya wewe useme Issa alayhi salaam siyo Yesu alayhi salaam.

Ungemsoma Issa kwenye Qur'an usingebaki kizani, ungeiona Nuru ya Allah. Muone mwenzako huyu...
.

Huyo ni mwanaume sasa unasemaje huyo ni mwenzie?
 
Amemfata Masihi Yesu alayhi salaam. Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.

Unauelewa Uislam? Au wewe ni mpinga Kristo?
Uislamu mungu wake ni Allah Mungu wa kiarabu na Allah hamtambui huyo Yesu.Yesu ni Mungu wa Wakrsto na baba yake ni Yehova ambae ni mungu wa Waebrania na Wayahudi.Maoni yako yametokana na hekaya za kiarabu katika mafundisho ya kiislamu,hivyo usipinge maoni ya watu wengine pia.
 
Kama ni kwel ana badili kisa ndoa ni bwege tu .mwanaume yoyote anae badili dini ili amfate mkewe ni kiazi tu
Mbona mimi mwanzo nilibadili dini nikawa muislamu nikamuoa Raniyah mwarabu wa Oman,tulipozinguana naye nikapata demu wa kihindi Dar es salaam,nikabadili dini nikawa muhindu sema ndugu zake wakanikatalia nikatemana nae.Sasa nimepata demu wa kichaga nimekua msabato.Ila kuna mchina huku kawe amenielewa anataka niwe budha kama yeye na maisha yanaendelea ya 4G
 
Kama ni kwel ana badili kisa ndoa ni bwege tu .mwanaume yoyote anae badili dini ili amfate mkewe ni kiazi tu
Mbona mimi mwanzo nilibadili dini nikawa muislamu nikamuoa Raniyah mwarabu wa Oman,tulipozinguana naye nikapata demu wa kihindi Dar es salaam,nikabadili dini nikawa muhindu sema ndugu zake wakanikatalia nikatemana nae.Sasa nimepata demu wa kichaga nimekua msabato.Ila kuna mchina huku kawe amenielewa anataka niwe budha kama yeye na maisha yanaendelea kwa kasi ya 4G
 
Back
Top Bottom