Mimi mwenyewe nilikuwa napenda kuandika hivyo nilikuwa sijui ka kuna watu nawaboa mpaka mdau mmoja aliponitolea uvivuSTRAIKER ndo nini?
STRAIKER=STRIKER!Mimi mwenyewe nilikuwa napenda kuandika hivyo nilikuwa sijui ka kuna watu nawaboa mpaka mdau mmoja aliponitolea uvivu
STRAIKER=STRIKER!
Tumekula nae sana pale CCM iringa miaka hiyo akiwa boda kitanziniUlijuaje anakula kitimoto
Ushahidi unaoTumekula nae sana pale CCM iringa miaka hiyo akiwa boda kitanzini
Mbona panawaka moto utazani hawana kazi za kufanyaHao Jamaa huwa wananifurahisha sana mtifuano wao, sasa aongezeke na yule MK254 hakika JF itakesha usiku na mchana kujadili uislamu na Ukristo.
Mkuu nimekupata type error tusamehaneMimi mwenyewe nilikuwa napenda kuandika hivyo nilikuwa sijui ka kuna watu nawaboa mpaka mdau mmoja aliponitolea uvivuView attachment 2562593
MashaallahMshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
Ramadhan Kareem
View attachment 2562549
Wapi wamesema amebadili kisa ndoa? Wabongo bwana kwa kurukia mambo aiseeKama ni kwel ana badili kisa ndoa ni bwege tu .mwanaume yoyote anae badili dini ili amfate mkewe ni kiazi tu
Kaifuata kweli , maana Uislamu mafundisho yake yamenyooka sana...Kastaafu kula kitimoto
ni typing error mkuuMkuu nimekupata type error tusamehane
Anataka amchukulie Mayele nafasi yake sio??Majini na mapepo yamemtaka afanye hivo ili aweze kubeba hirizi vizuri
Yeah,mayele ajiandaeAnataka amchukulie Mayele nafasi yake sio??
Bila kumsahau jiwe angavu