Strip tease. . .


umenena vema,ni kweli mfano uganda kuna nude shows ambapo wanawake wanafanya show za kujisquirtisha hadharani,kwa kina dada ambao mpaka leo hamjawahi ku squirt,mkienda huko mtapata somo zuri sana na kuwafanya mfikie kilele cha utamu wa ngono,na kuachana na hiyo taka taka starehe ya vibinti vya sekondari ya kupizz kawaida,squirting ndio mpango mzima.
 

Aisee hili nalo ni wazo la tofauti ila limetulia, upo wapi Lizzy unionyeshe demo ya "strip tease"!!!
 

KIM KARDASH
............................Eh!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha. . . .
Konnie bana.

Hii mambo haihitaji ule mwanga wakuumizana macho. . . .vile mpaka stretchmarks zinahesabika. Kama taa zenu zinapunguzika mwanga basi unapunguza mpaka karibu na mwisho au mnazima zote alafu unawasha mishumaa michache. That way hamna kuhesabiana makovu, stretchmarks zinakuwa kama hazipo na nyama uzembe hazitishi sana kama zipo.
 

Hahahahaha. . .
Lawyer bana. . .basi unamchorea kabisa mstari. . .TUSIKARIBIANE.
 
Last edited by a moderator:
klorokwini

Hahahaha Huo mstari wako wa mwisho shemeji............. uko mpana sana aisee, nawaza kwa nguvu hapa mambo ya G-string, thong hah nijiangalie kwanza sio?
Mami hizo hazijapitwa na wakati tu bado? Siku hizi HIPster ndo zinalipa bana. . . hamna haja ya kuvaa vitu vinavyopotelea kusikojulikana.
 
Last edited by a moderator:

Matola
Umenena mwanaume kamili. . .
Yani ni vitu vidogovidogo tu ila watu wanashindwa inabidi mwende mkashangae wanaochezea umma. Hiyo ya kanga ni kiasi tu cha kuingia bafuni ukatoka na majimaji yailoweshe ile kanga tu basi. . .haihitaji pesa wala ubunifu extra. . .sema basi tu watu wanabaniana raha.. . .sijui wanamwachia nani.
 
Last edited by a moderator:
Aisee hili nalo ni wazo la tofauti ila limetulia, upo wapi Lizzy unionyeshe demo ya "strip tease"!!!

HorsePower. . .
Wewe. . . mume wangu yupo humu na ID yangu anaijua!!!
Ngoj nikuulizie wapi kuna strip club nikuelekeze.
 
Last edited by a moderator:
tena mbafu zao kabisa
umeniambukiza hasira na mie

unachukua mzigo ukiamini ni kiswala, afu kikisaula kinakuwa hipopotamazi, manina zao kabisa.

Umeongea pwenti ya maana sana konnie, unaona limama lina hips kama JLo kumbe maboksi matupu, ukifika nae gesti akivua yale maboksi yake tu unamkumbuka Mungu na Evolution. Nyambaaf zao! hapa loya nimeongea kwa hasira sana
 
KIM KARDASH
Somo mbona mengine makubwa?

Ndio ukubwa huo shosti,ni kweli makubwa lakini ndo starehe yenyewe mwaya,lazima ujifunge kibwebwe sio mtu unakula perege unapita kila mtaa ukitangaza umekula samaki,je ukija kumla pweza ukubwani si ndo utautangazia ulimwengu mpaka ma cnn na bbc watajua....ndo mana naenda na wewe taratibu ati,nataka mwali wangu uwe mkufunzi siku moja iso jina!
 
Ngoja nianze mazowezi
hii generation ya kiduku naweza jikuta naruka majoka badala ya slow dance.

Kuna mwanadada mmoja kwenye wimbo wa R. Kelly sijui unaitwa slow?
Anakinyonga kwa madaha hadi raha.

 
Hahahahaha. . . somo bwana. . . kwahiyo tunaoringa na perege bado kabisa? Basi aibuuu!!

Ndo maana nikakuchagua wewe. . .najua mzew hatopata hasara!!lolzz
 
Ngoja nianze mazowezi
hii generation ya kiduku naweza jikuta naruka majoka badala ya slow dance.

Kuna mwanadada mmoja kwenye wimbo wa R. Kelly sijui unaitwa slow?
Anakinyonga kwa madaha hadi raha.
Nadhani unaitwa "Slow wind". . . .

Ngoja na mie niangalie kama bado mwili unaruhusu aiseee.
 
tena mbafu zao kabisa
umeniambukiza hasira na mie

unachukua mzigo ukiamini ni kiswala, afu kikisaula kinakuwa hipopotamazi, manina zao kabisa.



Yaani wewe acha tu! Ningelikuwa na mchumba mod ningetukana vibaya sana awa mafisadi wa hisia za watu.
 
Hahahahaha. . .
Lawyer bana. . .basi unamchorea kabisa mstari. . .TUSIKARIBIANE.
hehehe Ila bana tuende turudi mimi bana the best strip tease kwangu ni mdada kunivalia kanga ilofungwa kifuani halaf huku chini chupa za bia hazina hata kovu ya upele, zinachungulia chungulia kanga ikikaa upande. Hakyanani naweza nikahonga hela ya ugali yote na kama haikutosha nauza laptop.
 
Yaani wewe acha tu! Ningelikuwa na mchumba mod ningetukana vibaya sana awa mafisadi wa hisia za watu.

klorokwini
Hivi lawyer na wewe hua unadanganyika kama vile umetoka bush jana? Hua hayalingani bana. . .yani ni 1 x 0.89 na sio 1x1.
 
Last edited by a moderator:
Nihonge basi. .
Haki nakuvalia hapa hapa kwenye hii sredi kuonyesha msisitizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…