Stroke inaweza kumtokea mtu yeyote na ni hatari

Stroke inaweza kumtokea mtu yeyote na ni hatari

Nilikuwa nikikimbia 25 km miaka 10 iliyopita, siku hizi hata sipigi hata pushap 2...

Kiharusi sio kuacha pombe, usiache mazoez, usiache kula vzr, usithubutu kufanya mazoez bila lishe bora, utaKosa calories
Huu Uzi umenishitua Sana aisee naogopa sana hii kitu ngoja nirudie kufanya mazoezi maana ilikuwa ni daily basis yangu kukimbia umbali wa km 25 ingawa Nina 49yrs now sijui nini kimenikumba nina miezi 6 sijafanya mazoezi ahsante sana dada yangu kwa Uzi huu[emoji120]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobil
 
Tupo wanne tumetokes kuelewana na kuwa marafiki wakubwa. Rafiki yetu mmoja amefanikiwa kujenga nyumba nzuri tu ya ghorofa, anaishi na mume wake na mabinti zao wawili.

Weekend moja alitulika katika sherehe y mtoto, hatukua wengi sana, kwakua sherehe ilikua ni ya watoto, yeye na mume wake waliamua kuwa na watu wao wa karibu. Tulikula na kucheka na kuagana.

Wiki iliyofuatia rafiki yetu aliymtupigia simu, mume wake amepata stroke! Ilimtokea akiwa anaoga asubuhi, alikimbizwa Hospital. Alilazwa kwa wiki mbili baada ya hapo alirudi nyumbani. Ilibidi awekewe kitanda sebuleni hakuweza kupanda ngazi za kwenda chumba kwake.

Aliendelea na mama cheza kwa mwezi mmoja. Baada ya hapo alitafuta mama cheza wa private. Alifanya mazoezi kwa miezi mitatu. Sasa hivi amerudi katika hali ya kawaida. Ila amebadili mfumo wake mzima wa maisha. Ana kimbia kila siku, hali nyama tena na pombe ameacha.
Kwanini wengi hupata stroke bafuni?
 
Huu Uzi umenishitua Sana aisee naogopa sana hii kitu ngoja nirudie kufanya mazoezi maana ilikuwa ni daily basis yangu kukimbia umbali wa km 25 ingawa Nina 49yrs now sijui nini kimenikumba nina miezi 6 sijafanya mazoezi ahsante sana dada yangu kwa Uzi huu[emoji120]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
...Rudia Mazoezi Mkuu. Ulikuwa Vyema. Kilomita 25!
Hapo una maana ya maili 18 ama 19 hivi.
Kila siku? Ama per Week?
Upo vyema mkuu. Ponge,zi. Usiache.
 
Mazoezi na aina ya vyakula ndo jawabu.

Punguza nyama nyekundu.

Punguza pombe.

Pendelea kula punje za vitunguu swaumu mara lwa mara.

Fanya mazoezi(cardio) angalau 30mins kila siku.
Shukurani sana Mkuu. Tafadhali sana hebu nifafanulie zaidi hapa pa Cardio.
Yanajumlisha nini na nini Mkuu. Asante
 
Kuna stroke za kawaida na za kiasili wachawi wakiwa darasani huwa kuna somo lao la kumtupia mtu huo ugonjwa,hata uende hospitali gani huponi.so ukiwa na mgpnjwa wa stroke jaribu njia zote,hospital na tiba asili usione haya uchawi upo
 
Kingine ''Body check up'' ni muhimu sana hata kama Mtu hujisikii kuumwa, kuanzia mifupa, flesh na damu.
 
kuna ndugu yangu alipatwa na hilo tatizo...amepona kwa asilimia 89 tu...mkono wa kushoto sehemu ya vidole imegoma kuachia...nisaidie kama unajua chochote cha kufanya

Tafuta mpiga chuku(acupuncture) ninae jamaa yangu alipata hio stroke alifanyiwa chuku sasahivi akikwambia kama alipata stroke utakataa.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Waswahili wanasema kuna majini bafuni ila ukweli ni kuwa ni kama jiwe la moto kulimwagia maji ya baridi ghafla litapasuka tu,so ukijimwagia maji wakati wa kuoga wakati presha haiko sawa lazima uanguke
oh kumbe ndo maana inashauriwa ktk kuoga kuanza kujimwagia maji mguuni n.k
 
Back
Top Bottom